Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Sep 6, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,619
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Wale wenye kumbukumbu ya Kesi ya Mauaji Mwanza, kilichomtokea Daudi Mwangosi mikononi mwa polisi sote tumekiona, sasa nauliza hivi, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Nchimbi na IGP, Saidi Mwema, mnasubiri nini kujiuzulu ili kusetiri aibu ya serikali?!.

  Kwa mnaokumbuka hiyo kesi, naomba niwakumbushe kwa mujibu wa kumbukumbu yangu, nilikuwa darasa la 4 hivyo baadhi ya facts zinaweza zisiwe right!.

  Kwa kawaida askari wale mlio washuhudia wamemzingira Mwangosi, wao walikuwa wanatimiza wajibu wao kwa mujibu wa amri amri halali ya mkubwa wao!. Baada ya kutokea kilucho tokea, huyo mkubwa wao aliyetoa amri, anasubiriwa nini ili hali by now alitakiwa awekwe chini ya ulinzi then and there!, na wakuu wao Nchimbi na Mwema walipaswa by now wawe wameshawasilisha barua zao za kujiuzulu!.

  Askari polisi hawezi kushitakiwa kwa kutekeleza amri halali ya mkuu wake, anayetakiwa kushitakiwa kwanza ni aliyetoa amri!.

  Kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza, iliyotokea mwaka 1976 na kesi kuendeshwa mwaka 1979 baada ya kutokea vifo vya watuhumiwa wawili wa mauaji ya vikongwe, Bw. Masanja Mazengenuka na Isaack Mwana Mkoboko, Waziri wa mambo ya Ndani wakati huo Ali Hasan Mwinyi alijiuzulu, mkuu wa Polisi, Pundugu alistaafishwa kwa manufaa ya umma. Mkuu wa Usalama wa Taifa, Mzena alistaafishwa kwa manufaa ya umma. Walioshitakiwa ni RPC wa Mwanza, Cassian Mkwawa, RS wa Mwanza, Andrew M na DSO, Jemes Ihuya!.

  Wakati huo, Peter Kisumo ndiye alikuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza, naye pia aliwajibika!.

  Wakuu hao watatu wa polisi walikuwa wakiishi nyumba tatu zilizofuatana zikiwa Isamilo ya chini ikianza ya Ihuya, ikafuatia ya Andew M na ya mwisho ni ya Mkwawa!. Just imagine hali ilikuwaje mtaani wakati vigogo watatu wanene wa mutaa wote wanashitakiwa kwa kosa la mauaji!.

  Kama ni kweli polisi mfyatuaji risasi atapandishwa kizimbani, then RPC wake nae ndie amtangulie, huku waziri Nchimbi na IGP Mwema, wao bado wanasubiri nini kuwajibika?.

  Hata hivyo, damu ya mtu, haiwezi kupotea bure!, sio damu tuu ya Mwangosi, bali damu za wote zilizo mwagika bila hatia, kwa mujibu wa sheria kubwa kabisa iitwayo The Law of Karma, damu zote hizo lazima zitafidiwa kwa damu au kwa adhabu kubwa zaidi ya damu!. Tatizo la fidia, inaweza kuwa kubwa kuliko tukio lenyewe au hata kuwakumba na wasio husika ili kuisafisha roho ya marehemu!.

  Hivyo hata wahusika wasipowajibishwa, then at the end of the day, ni muwajibishaji wa mwisho ndio atakaye lipia the final price!.

  Pasco!.

  Up Date.
  Pay back time imeshaanza.
   
 2. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ndugu Pasco, Nchi hii ni Ufalme wa Kambale. Baba ndevu,mama ndevu, na watoto ndevu. Ni hivi,Katika familia,Baba kama kiongozi anapokosa "Moral Authority" basi anakosa say and respect kwa anaowaongoza. Hivi unadhani Rais Kikwete angekuwa strong enough with Moral Calibre tungeshuhudia MAZINGAOMBWE haya ya kina Mwema na Nchimbi? Ilikula kwetu,na itatutafuna hadi huyu jamaa na CCM yake watakapopigwa bench. Right now tunapiga kelele tuu.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pasco, hivin na wewe hujui kuwa kujiuzulu ni msamiati ambao haumo kwenye kamusi za viongozi wa serikali ya tanzania?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Tanzania hii??Kujiuzulu...ndoto

  kwanza wale police wauaji nao walitakiwa kuwa ndani sasa mpaka sasa ila utashangaa wanaendelea kula bata mtaani..
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Nchimbi anatusikitikia tutapata wapi waziri kama yeye akijiuzulu!
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  I doubt, kama mwanza scenario inafanana na Iringa scenario.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Pasco kumbe hauko kama ninavyokufikilia ndugu, Inawezekana hata kwa Lowasa unapoint Ingawaje bado sijaiona!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Pasco, huu utamaduni wa kujiuzulu uliishia wakati wa Nkapa! Kidooogo Lowassa alijitahidi kujiuzulu japo kwa shinikizo!


  No response to political/social accountability.
   
 9. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu Pasco,

  Nakushukuru kwa kutukumbusha ya enzi hizo, nadhani unakubaliana na mimi kwamba tatizo la nchi hii ni CCM, jaribu kutafakari kilichotokea Iringa na matamko yanayotolewa na watu hawa Msajili wa Vyama, Nchimbi, Nape, Chagonja na Dogo mmoja wa CCM UDSM... Utagundua kabisa wote wanaishambulia CDM kwa nyakati tofauti.

  Mimi nashukuuru jambo mmoja, huu msiba umewaumiza Waandishi na aliyeuawa kikatili ni mwamndishi kwa hiyo hata wale wanaopewa mlingula ili kupindisha ukweli naamini hawatafanya hivyo.
   
 10. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  Hapa ni kupigia mbuzi gitaa tu, itakua maajabu sana, nashawishika kuamini kwamba Kumbe EdO Boy ALIKUA KONGOZI SHUJAA SANA
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,619
  Trophy Points: 280
  Hiyo tofauti ndiyo hiyo hiyo polisi wanaitumia kama scapegoat kuwa Mwanza watuhumiwa walikufa kufuatia intaregation behind closed doors na kwenye riot vifo hutokea kwa bahati mbaya on an open space!.

  Kwa hiyo Mwanza walijiuzulu kwa sababu ni makusudi, Arusha, Songea, Morogoro na Iringa, ni bahati mbaya hivyo hakuna mtu wa kuwajibika!.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vifo vya raia kila leo, tunahitaji kuona watu wakijiuzulu au kustaafishwa kwa manufaa ya umma. Hili lisicheleweshwe kaamwe.
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa wameshajiona ni Miungu watu, Hivyo unapozungumza mambo ya kujiudhulu hata hawaelewi.

  Rushuwa ni adui wa haki. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko
  [h=3]Exodus 23:8[/h]
  [FONT=Corbel, Verdana, sans-serif]And you shall take no bribe, for a bribe blinds the clear-sighted and subverts the cause of those who are in the right.[/FONT]

  [h=3]Proverbs 21:14 ESV / 5 helpful votes[/h][FONT=Corbel, Verdana, sans-serif]A gift in secret averts anger, and a concealed bribe, strong wrath.[/FONT]

  [h=3]James 5:1-6 ESV / 4 helpful votes[/h][FONT=Corbel, Verdana, sans-serif]Come now, you rich, weep and howl for the miseries that are coming upon you. Your riches have rotted and your garments are moth-eaten. Your gold and silver have corroded, and their corrosion will be evidence against you and will eat your flesh like fire. You have laid up treasure in the last days. Behold, the wages of the laborers who mowed your fields, which you kept back by fraud, are crying out against you, and the cries of the harvesters have reached the ears of the Lord of hosts. You have lived on the earth in luxury and in self-indulgence. You have fattened your hearts in a day of slaughter. ...[/FONT]

  [h=3]Exodus 23:8 (NCV) | In Context | Whole Chapter[/h]
  [FONT=Charis SIL, charis, Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] [/FONT][SUP]8[/SUP][FONT=Charis SIL, charis, Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] "You must not accept money from a person who wants you to lie in court, because such money will not let you see what is right. Such money makes good people tell lies.[/FONT]

  [FONT=Charis SIL, charis, Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kwani hata kama CCM wamekuweka madarakani, basi ni lazima uwatetee, hata kama wanamuangamiza Baba yako na Mama yako na Mkeo. This is unbelievable.[/FONT]
   
 14. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Pasco ni zaidi ya tunavyomfahamu wengi.
   
 15. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,142
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Kaka Pasco kila zama na kitabu chake,hicho unachokizungumza hakipo kabisa ktk vichwa vya watawala wetu,wameshalewa kwa mvinyo wa madaraka na katu hawaoni mbele tena.
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Cheo ni Dhamana. Hebu someni Nabii Suleiman alivyowachukulia watu wake. Je nyinyi mko hivyo, au ni nyinyi ndio miungu watu. Yaani nyinyi nyinyiem.

  I Kings 3
  3:8 And thy servant is in the midst of thy people which thou hast chosen, a great people, that cannot be numbered nor counted for multitude.
  3:9 Give therefore thy servant an understanding heart to judge thy people, that I may discern between good and bad: for who is able to judge this thy so great a people?

  Haki ya kuishi na kuheshimiwa ilikuwepo hata wakati huo. Hawa Jamaa wanatakiwa kujidhulu haraka sana.
   
 17. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kamanda IGP kama mtatenda haki kweli tunataka na RPC Iringa naye apelekwe mahakamani iwe mfani,vinginevyo na wewe tutakuwa hatuna imani nawe tena!!!!!!!!!!!!!!!! Na tarehe ya The Hague ikifika nawe itabidi uwe mmoja wao
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wajiudhulu haraka.
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Pasco kwani taaluma zao hao wakuu ni zipi hadi waache kazi wanayoipenda ya kutuua!

  Ilitakiwa tuwaachishe kazi kwa kuwa wameishindwa. Sisi tunasubiri hiyari yao, inawezekena ujinga umetulemea.

  Nyinyi waandishi wa habari mngeipaaza sauti ya watanzania kumwambia Rais awafute kazi IGP, Kamuhanda, Kova endeleza idadi. Na akikaidi Mjiapishe kuandika negatives pekee za jeshi la polisi,

  Lakini kila nikiangalia nawaona waandishi mmejaa unafiki wa kupindukia. Wananchi tumeuawa wengi sana ukilinganisha na mwandishi mmoja tu imewauma sana.
  Mwelezeni Rais kwa kalamu zenu, nini matakwa ya wenyenchi. Na kamwe asijidanganye kuwa hii nchi ni yake aki-refer vipengele VIBOVU vya katiba ambayo tumeshakubaliana kuwa ni mbovu!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. F

  FATHER OF HISTORY JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 545
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Nchimbi wala kiongozi mwingine hawezi kujiuzulu hata kama mngekufa nchi nzima,pesa zao walizotumia kipindi cha uchaguziwatazirudishaje wakisha jiuzulu? ila mie na hisi hao ni members of fremasons,therefore they are paying bloodsacrifice
   
Loading...