Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi...
Wanabodi.
Utambulisho.
Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za...
04 June 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania
MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA
Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania
57 minutes ago —...
Haya sio mashambulizi bali ni nia thabiti ya Chadema kuchukua dola.
Mungu si Athumani. Maana Mungu hana ubaguzi wala choyo. Watanzania wamepata uelewa mkubwa sana. Hawaitaki CCM kwa namna yoyote...
Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti.
Leo nimekumbuka baadhi ya adha...
Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana:
1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili
2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana...
"Katika nchi yetu mauaji haya ya nini, ni ya kihistoria. Hatujawahi kupata shida kama hii. Ni mauaji makubwa, makubwa sana. Haya mauaji yaliyotokea ni makubwa sana, kuna maiti hazionekani, kuna...
Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM)
NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais...
Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi...
Nchini Tanzania umeme unajua kukatika sana tofauti na nje wajameni hata ukiwekea majengo marefu kiasi gani bado naona kuna tatizo mahali litabaki. Maendeleo ya kweli yanaanza pale ambapo umeme...
Sabato Njema!
1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically
2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.
3...
Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣...
Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa.
Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA...
Kila siku kumekiwa na madukuduku ya kero za huu Muungano ambapo tunaona achilia mbali fedha za mikopo ya nchi zinavyomiminwa na kumung'unywa kule, sasa wanahakikisha wanaidogosha na kuifedhehesha...
Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.
Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni...
Katika demokrasia:
👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu.
👉Bunge ni kubwa kuliko Spika.
👉Taifa ni kubwa kuliko Rais.
👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala.
Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche amezungumzia kurejea kwa Halima Mdee ndani ya chama hicho wakati wa mahojiano kupitia Wasafi FM;
"Kwanza niseme Halima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.