Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akihojiwa Juni 8, 2026 Patrobas Katambi alisema; "Kuna ukosoaji hasi na chanya, sasa katika ukosoaji hasi ndio inawezekana kukawa kuna utaratibu wa kuvunja sheria...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na...
22 Reactions
192 Replies
4K Views
Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA
3 Reactions
37 Replies
875 Views
  • Redirect
Kumekucha! Halafu eti tuna Muungano. Watanganyika tuamue na sisi wapemba wote waondike TANGANYIKA au vipi? Wameteka ardhi usiombe!
1 Reactions
Replies
Views
Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika amepewa Mamlaka ya kufuta Mchango wa Mbunge yoyote alioutoa bungeni.. Anaweza fanya hivyo kwa chuki, ubabe, bifu, au kumfurahisha Rais...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiufupi Ni Kuwa Rais Samia Anakesha anafanya kazi , anashinda kutwa nzima anafanya kazi, anasafiri na kufanya kazi hadi akiwa angani ndani ya ndege . Rais Samia anafanya...
1 Reactions
11 Replies
164 Views
Wakuu hongereni na poleni sana na harakati za maisha. Mtaji wa kwanza kwa mwanadamu ni Afya tusiache kulingia afya tuliyonayo maana wapo wenzetu humu na wengine ma hospitalini huko wana pambania...
3 Reactions
10 Replies
309 Views
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, Oscar Oscar, aliwahi kusema Machi 14, 2024 kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali badala ya kutekeleza majukumu yao ipasavyo, wamekuwa wakitumia...
1 Reactions
2 Replies
200 Views
As much as I appreciate the efforts of the Ministry of Finance in its pursuit of domestic resource mobilization, I remain concerned about the implementation of the recommendations made by the...
1 Reactions
4 Replies
637 Views
Utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan Toka aingie madarakani umedhihirisha kuwa akili ya mwanamke inachanganya haraka sana kuliko akili ya mwanaume Mh. Rais ameonyesha kuwa...
4 Reactions
19 Replies
303 Views
Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi Msikilize ============ Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada...
5 Reactions
14 Replies
675 Views
Rais Samia amesema ziara yake nchini Urusi ni ya kihistoria kwani imefanyika zaidi ya nusu karne tangu ziara ya mwisho ya kiserikali kufanywa na Baba wa Taifa, Julius Nyerere mwaka 1969...
4 Reactions
40 Replies
726 Views
Anapinga Nairobi National Park kumegwa kutengeneza car parking lot!
1 Reactions
7 Replies
236 Views
Naona kama taifa letu halina future tena. Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna...
1 Reactions
8 Replies
153 Views
Mko poa wasoma uzi? Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama. Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri...
3 Reactions
2 Replies
141 Views
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hilo kama taifa. Ushindi wa kishindo cha zaidi ya 90% alioupata mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Isimani, mkoani Iringa, ni...
3 Reactions
49 Replies
339 Views
Nimepita leo ofisi za Nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na...
3 Reactions
9 Replies
151 Views
Back
Top Bottom