Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba...
Sote ni mashuhuda jinsi ambavyo baadhi ya waTanzania wenye tamaa binafsi nia ovu dhidi ya taifa letu huru, wakizunguka Ulaya na Amerika wakipanga bei ya kuliuza taifa letu.
Kama wazalendo wa...
Mimi ukinikuta mtaani ni kada wa chama kweli kweli huwa najitahidi kukusanya maoni ya wananchi wengi vijiweni kwa mabodaboda kwa mama ntilie machinga wafanya biashara maana Wakandarasi wanangu...
"Niliiuliza Meta kwa nini ilifuta akaunti ya mwanaharakati wa Kitanzania Mange Kimambi na ikazuia akaunti ya Maria Sarungi nchini Tanzania, lakini sikupata majibu. Meta inamiliki Facebook...
Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ESS umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
No. Tanzania's cooperation with Russia in the nuclear sector does not mean Tanzania is preparing to develop nuclear weapons.
There is a major difference between:
1. Nuclear energy programs...
Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana...
Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni...
Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimekanusha taarifa zinazomhusisha muuguzi na tukio la kumpasua mgonjwa nyumbani juu ya makochi mkoani Tabora, kikibainisha kuwa mhusika hana sifa wala taaluma...
Waziri wa Mambo ya Nje ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si...
Augustino Lissu, mtoto wa mwanasiasa mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress nchini Marekani...
Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa...
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya...
Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo...
The Diplomat
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaelezea mapokezi ya heshima aliyopata akiwa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Urusi.
Mapokezi aliyopewa...
"Tutarudi kwenye malengo yako kuhusu Ukraine baadaye, lakini ni lazima nikuulize swali hili, Mheshimiwa Rais. Licha ya vikwazo vilivyowekwa, unataka kuendelea na kuongeza biashara na Urusi.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.