Mzee wangu, nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo na Amani iwe nawe huko uliko.
Mimi ni kijana wako mdogo sana ambaye sistahili hata kushika gidamu ya viatu vyako wewe uliye mkuu wa nchi...
Nilikuwa naangalia Kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar nimeona uwepo wa viongozi wetu wa juu wa nchi, Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Nimejiuliza Waziri Mkuu...
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika.
Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira...
Wadau napendekeza Mh. Lissu akitoka kwenye forced incarceration na kuwa Rais napendekeza awe anapiga pindi la Sheria hasa kwenye masomo yafuatayo;
1. Law of Evidence
2. Administrative Law
3. Law...
Angalia Ally Hapi, matamshi yake kama Idd Amin, ukatili! Hakuna diplomacy....mabavu kumfurahisha FULANI
Sifa kubwa ni kuukana ukweli na kuutukuza uongo. Angalia akima kabudi, kitila, wasira...
Wakili Peter Madeleka amesema si kosa la kimaadili au la jinai kwa mtu yeyote, wakiwemo mawakili, kuongea na vyombo vya habari kwenye viunga vya mahakama baada ya ahirisho la kesi.
Mahakama kuu...
Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao.
Binafsi, naona karibu vitu vyote vya...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka...
Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao..
Laiti...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Judith Kapinga, amesema kuwa Serikali inafanyia kazi changamoto ya upandaji wa bei ya saruji kwa karibu ili kuhakikisha mwananchi wa kawaida anamudu gharama za...
Wadau doctrine ya persona non-gratia inamaanisha kuwa ofisa wa kidiplomasia mfano Balozi anapokuwa anawakilisha Nchi flani, Nchi hiyo inaweza kumtangaza kuwa ni mtu asiyefaa kuwa kwenye office...
Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini.
Tatizo linapojitokeza...
Wanabodi,
Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia...
SGR Ina shida mahali , unapofanya booking unakuta karibia siti zote zimejaa ila unapokuja kuingia ndani ya behewa unakuta nusu ya siti hakuna watu mwanzo mpaka mwisho wa safari hii imekaaje ?
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta...
Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku...
YERICKO NYERERE ALIA NA UNAFIKI WA PROF. ANNA TIBAIJUKA.
HII NI COPY AND PASTE WADAU, ... NINAWASILISHA!
Yericko Nyerere kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:
·
Nchi hii unafiki ni asili...
Huenda Namba za simu pekee zinazopatikana na kupikelewa ni AZAM MEDIA, na Makampuni ya Mitandao ya Simu ( Kwa UFUPI Sekta Binafsi Iko vizuri).
Njooo kwenye Taasisi za Serikali;
Kwanza Picha...