Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Salaam, RPC Njewike anapaswa kufahamu kwamba Alex Jonas ni Katibu wa Jimbo la Manyoni Mashariki na kwamba nafasi hii haikatazi yeye kufanya kazi ya Bodaboda. RPC Njawike anapswa kujua kuwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Jf! Baada ya kula chakula cha mchana nakushiba kuna wazo limenijia ,nikaona niishauri serikali japo serikali inawashauri wake sasa sidhani kama watapokea ushauri wangu. Binafsi nlikuwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna usemi katika vitabu vitakatifu usemao: Mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii. Hivi watumishi wa umma, yaani serikali, na mashirika yote mnafahamu kuwa leo mpo kazini na...
16 Reactions
67 Replies
7K Views
Nimemsikia makamu Mwenyekiti wa CCM ndugu Philip Mangula juzi akiwa ktk ziara zake sambamba na katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru wakijigamba kwamba,uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Joto likiwa limepanda hadi kufikia nyuzi 360 kwa wagombea wanaotajwa kuwania nafasi hiyo, wananchi wa jimbo la Arusha Mjini wanajadili nani anafaa kuwa Mbunge wao. Wakati hayo yakiwa yaendelea...
2 Reactions
38 Replies
50K Views
Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali . Hofu iliyopo ni...
10 Reactions
31 Replies
6K Views
Salamu tele kwenu, Nikiwa kama mdau wa humu ndani naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020, na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge. Mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Nimehamasika kuandika uzi huu kutokana na kitabu cha baba wa Taifa Julius K. Nyerere cha mwaka 1962 kiitwacho TUJISAHIHISHE. Kitabu ni kirefu kuweza kuwekwa hapa kilichomo chote, lakini ni kifupi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tume ya uchaguzi haiajawahi kuwa kimya kwenye maboresho ya daftari la wapiga kura Kama ilivyo awamu hii, hakuna sehemu unaona Kama wapo kazini. Hali imetulia sana Kama vile hakuna watendaji wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna baadhi ya watu wanaohama chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakijinadi kuwa wanaunga mkono juhudi za mh Rais kwa kazi anazozifanya .Lundo la watu mbalimbali wengine wakiwa ni viongozi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi October angalia mgombea mwenye sifa zifuatazo: 1. Ataliweka taifa kuwa la amani, akamate wote wasiojulikana walioua, poteza na kuumiza watanzania wenzetu...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Swali fikirishi tu. Kiukweli nchi nyingi duniani (ikiwemo nchi yangu nzuri Tanzania) zinapita kwenye wakati mgumu kiuchumi na kisiasa. Wengi wetu tumebaki kulalamika sana hata kujutia maamuzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu. Ponda amesema kwa Siasa...
13 Reactions
71 Replies
9K Views
Zimeibuka hoja mbali mbali zikiwaaandama nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu na ndio safari imeanza muwe na ngozi ngumu na kubwa zaidi endeleeni kuwatumikia wananchi maana waleta hoja wana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm. Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani kama video inavyojieleza, wakazi wa Mwananyamala wanakusanyana kwenye ofisi za serikali ya mtaa, wanapigwa picha na kulipwa shilingi 5,000 kila mmoja. Picha hazijulikani ni za nini. Na kwa...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu,nimekua mdau wa kusoma mawazo na nyuzi mbalimbali humu JF,ukweli 99% tunajitambua,nimefikiria sana,nimewaza na kuwazua,kwa weledi wa kudadavua mambo mbalimbali ya kisiasa,kiuchumi na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanajamvi, leo katika pitapita zangu jijini Arusha nimeona Gari likipeperusha bendera ya ccm, na nilipotazama vizuri nikaona Bango kubwa limebandikwa kwanye kioo cha nyuma limeandika - MAGUFULI...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Back
Top Bottom