Uchaguzi 2020 Uchaguzi mwaka huu utakuwa mgumu kwa CCM

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli chake chenyewe. Kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi kilichobaki ni kujiaminisha kwamba chama kinapendwa.

(1) Wachumia matumbo CCM ni janga la chama
(2) Wapenda sifa wamepata pa kuonyesha mbwembwe zao
(3) Waimba mapambio nao hawajabaki nyuma.
Binafsi sioni sababu ya kusifia sifia vitu wakati huku wananchi wako hoi.

Mh Rais wangu mpendwa ukiruhusu mikutano ya kisiasa ndio utagundua usajili unaofanywa na wasaidizi wako ni wa hovyo na wala sio wa kukutakia ushindi mnono.

Ni vyema chama kihangaike na kuongeza wanachama sio hawa walafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajenga hoja wapo lakini chama kimehodhiwa na mtu mmoja..
Inabidi wafuate matakwa yake ambayo mara nyingi ni kinyume cha katiba ya JMT na katiba ya chama chenyewe.

Tunayo safari ya kuvumilia mateso hadi aondoke.
 
Wajenga hoja wapo lakini chama kimehodhiwa na mtu mmoja..
Inabidi wafuate matakwa yake ambayo mara nyingi ni kinyume cha katiba ya JMT na katiba ya chama chenyewe..
Tunayo safari ya kuvumilia mateso hadi aondoke.
Huwezi kuwa mjenga hoja huku umejikunyata chama kinahujumiwa watu wamekaa kama hawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kenge mpaka damu itakapotoka ndio atajua keshaumia waache tu boss kwani ww shida yako ni nn ?
 
Uchaguzi kwa CCM ni simple tuuu!
masoudkipanya_B9A_6OMDjZT.jpeg
 
Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli chake chenyewe. Kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi kilichobaki ni kujiaminisha kwamba chama kinapendwa.

(1) Wachumia matumbo CCM ni janga la chama
(2) Wapenda sifa wamepata pa kuonyesha mbwembwe zao
(3) Waimba mapambio nao hawajabaki nyuma.
Binafsi sioni sababu ya kusifia sifia vitu wakati huku wananchi wako hoi.

Mh Rais wangu mpendwa ukiruhusu mikutano ya kisiasa ndio utagundua usajili unaofanywa na wasaidizi wako ni wa hovyo na wala sio wa kukutakia ushindi mnono.

Ni vyema chama kihangaike na kuongeza wanachama sio hawa walafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mwaka huu CCM wanaterezea ganda la ndizi
 
Ni kweli wote waliotoka CDM kurudi CCM hawana uwezo wa kujenga hoja.

Ni usajiri usio na tija...ambao utaleta mzozo hasa wakati wa kura za maoni nani apewe nafasi je Mvamizi ana Mfia chama.
 
Wanasemaga vya mjinga huliwa na mwelevu. Wanaosajiriqa wanajipatia kitita cha fedha hapa mwishoni mwishoni hata mwenye madeni anafurahi sana
 
Ni kweli wote waliotoka CDM kurudi CCM hawana uwezo wa kujenga hoja.

Ni usajiri usio na tija...ambao utaleta mzozo hasa wakati wa kura za maoni nani apewe nafasi je Mvamizi ana Mfia chama.
Wengi walibebwa na chama na vugu vugu la Ukawa.
 
Back
Top Bottom