Uchaguzi 2020 Mara Paaap!!: Ikitokea ukawa wewe ungefanyaje?

soine

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,113
2,329
Swali fikirishi tu.

Kiukweli nchi nyingi duniani (ikiwemo nchi yangu nzuri Tanzania) zinapita kwenye wakati mgumu kiuchumi na kisiasa. Wengi wetu tumebaki kulalamika sana hata kujutia maamuzi yetu kwenye sanduku la kura.

Sasa JIULIZE au IMAGINE ingekuwa wewe umepata fursa/nafasi ya kuwa kiongozi wa nchi UNGEFANYA NINI?

Hoja makini zinaweza saidia kuchangia kubadili sera za wenye ndoto ya kutia.

KARIBUNI!
 
Ningeanza na kufanya mabadiliko makubwa ya sheria zote kandamizi,ningezipa taasisi mamlaka kamili ya kisheria na kuzifanya kuwa zinajitegemea katika utendaji wake,ningeanzisha mchakato wa kupata katiba bora zaidi,zaidi ya yote ningeboresha sekta za afya na elimu!
 
Ningeaza na mabadiliko ya katiba iwe katiba bora ya wananchi.
Safi sana Mkuu.. Katiba Bora ya Wananchi.

Wakati hilo la Katiba linashugulikiwa lazima Kichwa Korosho, Bashite, Mtoto wa Dada na wengine wa namna hii ntakuwa nimeshawatupa mahabusu na huko itakuwa ni Vibano X 3, huku hati za mashtaka zikiandaliwa kote Kisutu na kule ICC.
 
Kitu cha kwanza kabisa ni kumuondoa Shetani kwa kukifuta CCM , kulifuta Jeshi la Polisi , TAKUKURU na kuifungilia mbali ofisi ya DPP
 
Ninge chill tu na beers zangu huku nikiwa nawangalia wananchi kwa mbali wakipambana na maisha
 
Ukitaka kujua roho ya mtu ni safi au chafu, muulize atafanya nini akipewa madaraka.
 
hapa utajibiwa kizalendo,usikubali, wote ni future Mafisadi!!….Who would have thought Magufuli akawa Fisadi??
 
Back
Top Bottom