• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Elections 2020 Wabunge waliohamia CCM kwa kujiuza au kwa hiyari yao njia panda , Mikataba ya ununuzi mwisho octoba 2020

Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
69,676
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
69,676 2,000
2314428_20200221_155741.jpg

Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali .

Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama mhogo ?
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
21,309
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
21,309 2,000
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
69,676
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
69,676 2,000
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap
swali lako peleka Mwananchi
 
the truecaller

the truecaller

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2019
Messages
655
Points
1,000
the truecaller

the truecaller

JF-Expert Member
Joined May 8, 2019
655 1,000
Maneno ya kujipa faraja haya.
Kubalini ukweli kwamba wewe mleta mada na wenzio wa ufipa,kuna shida kubwa mle ndani tena hakuna chama cha kihuni kiutendaji kama chagadema.

Shame on you all!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
14,171
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
14,171 2,000
Maneno ya kujipa faraja haya.
Kubalini ukweli kwamba wewe mleta mada na wenzio wa ufipa,kuna shida kubwa mle ndani tena hakuna chama cha kihuni kiutendaji kama chagadema.

Shame on you all!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakuambia, haya maneno yako usiyapeleke ufipa wala chagadema. Peleka kwa Mwananchi media!! Upooo? Mbona hamuelewi mada mezani jamani?? Ufipa na Mwananchi wapi na wapi?? Je, Ingelikuwa Daima ungesemaje?
Swali dogo tu la nyongeza; Hivi yasemwayo ni ndoto au yapo? Kama weye ni mnufaika wa ile mbeleko; kaa mguu sawa kutorokea mtaani kwani Hakika kwenye maoni hupiti
 
A

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Messages
2,506
Points
2,000
A

Akasankara

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2015
2,506 2,000
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap
Hata Mtatilo amepata uDC kilaini amekuacha wewe huku jamii forum ukihangaika na kulialia
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
84,264
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
84,264 2,000
Leo hii muda mfupi ulio pita kuna mwingine kaamua kujimaliza kisiasa kule Tandahimba
View attachment 1365069

Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali .

Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama mhogo ?
2314718_Screenshot_20200221-181329.jpeg

In God we Trust
 
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
4,650
Points
2,000
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
4,650 2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
84,264
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
84,264 2,000
Tatizo lako wewe ni shule hivyo hata aina ya michango yako inaenda hivyo hivyo ki umande umande
mleta mada wewe vipi mbona Lowasa na Duni Haji 2015 walipita kilaini tu kuwa wagombea chadema wakati hawajawahi kuwa wanachana hata kwa wiki moja tu?
mbona hawakuwa njia panda waliingia tu hao wakaibuka wagombea chap chap
In God we Trust
 
Drone Camera

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
8,396
Points
2,000
Drone Camera

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
8,396 2,000
Sitetei chama chochote lakini naweza sema huku ni kujipa faraja tu... Cdm has been defeated.
 
Forum statistics

Threads 1,403,957
Members 531,444
Posts 34,440,578
Top