jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,731
- 2,798
Jamani kama video inavyojieleza, wakazi wa Mwananyamala wanakusanyana kwenye ofisi za serikali ya mtaa, wanapigwa picha na kulipwa shilingi 5,000 kila mmoja. Picha hazijulikani ni za nini. Na kwa siku wanalipwa hadi watu 100 mpaka 120. Hapa kuna mchezo wa uchaguzi wa 2020. Vyama vya upinzani viingilie kati / vihoji hili zoezi. Hao wapiga picha na Mwenyekiti wa mtaa wabanwe vizuri hizo picha ni za nini!! Haya si maandalizi ya kura fake haya jamani?!
Fatilia vizuri hii video mjionee tulikofikia sasa kama nchi.
Fatilia vizuri hii video mjionee tulikofikia sasa kama nchi.