Uchaguzi 2020 RC Makonda awaalika wakazi Dar kwenye Uboreshaji Daftari la Wapiga kura

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,820
141,721
Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm.

Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo katika mkoa wa Dsm na taifa kwa ujumla.

Karibu.

Maendeleo hayana vyama!

1581675262721.png
 
Atwambie na kisa cha yeye kupigwa ban kwenda USA
Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm.

Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo katika mkoa wa Dsm na taifa kwa ujumla.

Karibu.

Maendeleo hayana vyama!

In God we Trust
 
View attachment 1357149
Tunataka vitambulisho vya Taifa na si mamo ya kupiga kura
 
Nashukuru kwa upande wetu huku mtongani relini kuna mashine tatu, za wanawake moja na wanaume mbili ila kwa mwanamke unaruhusiwa kuja hata huku wanaume ni zoezi rahisi na haraka kabla ya yote unaulizwa kama uliwahi kujiandikisha na kutaja majina matatu na sehemu ,wilaya mkoa wanakutafuta na kama haupo anaanza upya na kupewa kitambulisho kingine unaandika majina yako matatu tarehe mwezi na mwaka wako wakuzaliwa na namba ya nyumba ila si lazima kisha unapigwa picha na kupewa kitambulisho chako hapo hapo na kuondoka
 
Nenda kahakiki ama ujiandilishe update haki yako ya Kupiga kura
 
Tunajiandikisha ili iweje wakati mshindi wanaye kwenye mfuko wa shati? tume huru hakuna? Wanatuona majuha au?
 
Back
Top Bottom