Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,468
- 46,273
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime.
Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.
Heche aliwashukuru wazee hao kwa mapokezi na zawadi hiyo, huku mkutano huo ukilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.