October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,143
- 2,023
Mkadhani mkiniingiza ndani ndimi ntatoa siri ya kambi? Hehehe! Mahii, mnalota sana. Kama mnaniona zumbukuku, basi mumejikosea. Mmeloba.
Sasa huyo mtu wenu munayemtafuta, huenda akawaletee jambo kubwa la kutetemesha. Sijui walahi! Mahii! Hakuna mambo ya maridhiano wala mapatano tena.
Hakuna wa kukaa meza moja na wauaji. Mwaona yule mlomfanya mlemavu, mkamuweka ndani? Hata yeye hakubali. Sasa munapita njia ya nyuma, mlango wa uani. Tutaona mwisho wake. Na bado mambo hayajaisha. Dadeki!