Ushauri: Chadema ijiondoe kwenye vikao vya Maridhiano na CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,707
218,255
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
 
Ccm ni mashetani, Mimi niliwadharau walipomwagia tindikali wenyewe kijana wao Igunga kisha Mwigulu enzi akiitwa Savimbi ndio akawa anamtumia kama kinyago cha kufanyiwa kampeni kumpandisha majukwaani.

Huwezi kuridhiana na mashetani, Chadema wajikite kwenye katiba mpya.
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi , yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5 , yaani kuteka , kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake , na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane , kwamba wale waliokamatwa , waliofungwa , walioonewa , waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe ( NEVER AND NEVER AGAIN ) , na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma .

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu , kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake , ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake , Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo , huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia .

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi , Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo , hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake , Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5 , IGP Wambura , huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali , Kingai , Byakanwa , Humphrey Polepole , Dr Mahera , Ramadhan Kailima , Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia , wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia .

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine , sasa kwa vile ccm imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika , hapa maridhiano hakuna tena .

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka , turudi kule kule tulikokuwa , turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi , hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI

Nakala : Freeman Mbowe , John Mnyika
we ndio shetani usiyetaka kuona watu wakikaa kwa amani, upendo, mshikamano, kuaminiana wakijenga nchi yao. Hakuna mchawi km wewe maana malengo ya uchawi ni kuharibu, kutesa na kuua, na we uko mrengo huo,basi tunasema ushindwe na ulegee. Maridhiano yakiachwa wekwa akili yako hiyo ndogo unafikiri ataumia nani. Acha huo uchawi bwana mdogo haulipi
 
Ccm ni mashetani, Mimi niliwadharau walipomwagia tindikali wenyewe kijana wao Igunga kisha Mwigulu enzi akiitwa Savimbi ndio akawa anamtumia kama kinyago cha kufanyiwa kampeni kumpandisha majukwaani.

Huwezi kuridhiana na mashetani, Chadema wajikite kwenye katiba mpya.
mashetani ndio nyie msiotaka kuona watu wakikaa kwa amani. hamieni Somalia hapa kwetu hapawafai, nchi yetu ni kisiwa cha amani inaeleweka dunia nzima. Lazima tulinde tunu hii muhimu na adhimu duniani.
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Naunga mkono HOJA,

Wezi walioripotiwa na cag hawakuchukuliwa hatua maridhiano yakiebdelea,

Bei za bidhaa adimu zilipanda maridhiano yakiebdelea,

Bandari imegawiwa Bure CDM ikiwa ktk mezani ya maridhiano, isingekuwa Ili ziara ya ghafula na deal kuvujishwa CDM ingehusishwa na deal la Bandari.

Ingawa, Kuna faida kidogo, tunaona Tume huru na Katiba mpya inatengewa fedha ingawa ni Kwa Nia Ovu kipindisha mada.

CDM jiondoeni tafadhali🙏🙏
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Tena sio kujitoa tuuu, ikiwezekana hameni na nchi kabisaa
 
mashetani ndio nyie msiotaka kuona watu wakikaa kwa amani. hamieni Somalia hapa kwetu hapawafai, nchi yetu ni kisiwa cha amani inaeleweka dunia nzima. Lazima tulinde tunu hii muhimu na adhimu duniani.
Hayo maridhiano ya kitapeli tulisema toka mwanzo anayafahamu Mbowe na Samia + CCM. Hakuna haja ya maridhiano na majizi ya kura. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi pekee ndio yataleta maridhiano ya kweli. Ule utapeli wa kufundishwa uoga abaki nao Mbowe na wanaccm waliomuingiza mjini.
 
Siamini hata kama hayo maridhiano bado yapo, kama yatakuwa yanaendelea Chadema watakuwa ni wasaliti wa watanganyika, huwezi kukaa meza moja na dikteta anayewapa kesi za uhaini wale wanaomwambia ukweli.

Huyu tapeli wa namna hii hawezi kutudanganya analiunganisha taifa kwa maneno, wakati kwa matendo yake tunaona kabisa analibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Tatizo ni kuwa hatupati feedback, kuona progress . Nina uhakika Mbowe ataomba kuonana na samia kwa hili la mwabukusi.
 
Tuhame nchi kwani tuko kwa hisani ya CCM? Lazima tutaheshimiana tu, majizi ya kura hamuwezi kuachwa muuze raslimali za nchi hii tukiwaangalia, hasa ikizingatiwa hamko madarakani kwa uchaguzi halali.
Mbona ruzuku ya kuendeshea mikutano yenu mnanyaka kama vile golikipa wa simba anavyonyaka penati?
 
Kuna mabo ya kubumba ambayo hata chekechea anayaona...nolle prosequi (kumbe wewe hujui kitu) kwaheri!
Yanabumbwa yakiwa nyinyi ndio mko mahakamanii, lakini yakiwa upande mwingine ni sawa sawa. Yaaani uvunje sheria makusudi halafu wakuache kabisaaa?
 
Mbona ruzuku ya kuendeshea mikutano yenu mnanyaka kama vile golikipa wa simba anavyonyaka penati?
Ruzuku sio hisani ya CCM, bali ni takwa la kisheria. Watu wanachukua ruzuku ili kufanyia shughuli chache za chama, na wala ruzuku sio uhalali wa uchaguzi. Kwa taarifa yako hata wakati wa ukoloni bado watu waliendelea kupata huduma kwenye taasisi walizoanzisha, lakini ile haikuwapa wakoloni uhalali wa kututawala.
 
Back
Top Bottom