Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 755
- 675
Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu mmemuandalia kombola gani?