Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe. Rais. Kwa hali inayoendelea sasa katika maeneo haya hususani vijiji vya SAZA, PATAMELA, MWEMBENI na kwingineko tunaathirika sana sisi Wachimbaji. Tunatambua jitihada zako katika kutuinua Wachimbaji wadogo, kwenye hili la Umeme Mhe. Rais tunaomba sana utusaidie kupata umeme wa uhakika.
TANESCO
UFAFANUZI WA TANESCO HUU HAPA CHINI...

KERO Responded Post in thread 'Umeme ni kitanzi kwa wachimbaji Songwe'
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe...