Kaimu Waziri wa afya Zanzibar: Sikusema watu wa bara wasitibiwe

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,956
Reaction score
4,186
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.

Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.

“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”

“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”

“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”

Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?

“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”

Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
IMG_1399.jpeg
 
Afya siyo suala la muungano,kama wana sera zao huko zenji,waachwe wazifuate,ukipeleka makalio yako hospital za huko lipia kama unavyolipia huku bara
Chawa mna kazi,

Saada; Hatutibu Watanganyika. Chawa Hoyeee!!!
Saada; Sijasema hatutibu Watanganyika, Chawa Hoyeee!!!

Duh! yaani mko kama sigara nyota.
 
Tunachojua tumerekodi sawia chokochoko zao haya hayatokei Bure yamepangwa.
1. Yuda.
2. Ajira za mahoteli.
3. ZHIF

Je ni coincidence? HAPANA HUU NI MPANGO UNAOSUKWA ZANZIBAR ILA KUMBUKENI MNA MASHOGA YENU YANALIMA KARAFUU HUKU BARA NA WANA MAHEKA YA KUTOSHA BANK YA PBZ HAWANA VICHOGO TUNAWATAMBUA KWA LAFUDHINNA SAUTI MAANA SISI WATANGANYIKA MNATUITA MACHOGO. MADUKA YA WAPEMBA TUNAYO HUKU ENDELEENI.
 
Saada alipata kuwa waziri wa fedha muungano, nchemba alikuwa naibu wake, aliyekuwa naibu wake leo ni waziri mkuu muungano, yeye aliyekuwa waziri kamili leo ni naibu huko visiwani, hii kiprotoko imekaaje ndugu zanguni?
 
Kwani huu Muungano ni Lazima? Si UVUNJWE?
Tena kwa Miaka mingi Wazenji walikua wanalilia uvunjwe, Leo hii awamu ni yao kwanini wasikamilishe Dai lao mapema sana?

Tumechokaa kuburuzwa watanganyika, tunataka taifa Letu.
 
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.

Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.

“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”

“Nilichomjibu mimi sisi Zanzibar kwa sababu kama unavyojua toka mapinduzi 1964 ilikuwa inatangaza matibabu bure na elimu bure ndio tunajua tulikuwa na hiyo theme ya matibabu bure na elimu bure kuna kitu tukichokitoa tulikuwa tunakiita Matibabu Kadi, hiyo Matibabu Kadi inasajiliwa kwa Sheha au Shehia husika kwamba wewe ni Mzanzibar upo intitle unaandika particular zako halafu yule Sheha anatoa hiyo matibabu kadi kwenda hospitali unatoa ile matibabu kadi yako lakini tuligundua Masheha wetu ambao hawako waaminifu kutokana na maelekezo waliyopewa”

“Sivyo hivyo ambavyo ilikuwa imetengenezwa kwamba anapokuja sio Mzanzibar kwamba hatumtibu, hakuna sasa hivi ile option bila ya kuwa Mwanachama wa ZHSF ukawa unachangia ukaja hapa halafu ukapata matibabu free bila kupata ile shearing ni hiyo ilikuwa hivyo”

Pia, Mkuya ameulizwa kama kuna takwimu za Watu kutoka Bara wanagharimu Zanzibar kwa kiasi gani au ni hisia tu ?

“Nataka niliweke vizuri, sikuwahi kutaja sehemu kwamba Watu kutoka Bara ndio wanakuja, tunachokitaka kwamba tuweze kuwa na sustainable financing ya kugharamia huduma za Afya, tuweze kulipa vipimo, tuweze kulipa dawa, tuweze kulipa wataalamu, tuweze kulipa mambo yote yanayohusiana masuala ya afya, sikuzungumza mahala popote kwamba kuna Watu kutoka Bara nimesema Wasio Wazanzibar”

Soma Pia: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

Na alipoulizwa akiwalenga wakina nani, Mkuya alisema “Nimesema usajili wa ZHSF ni Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma, Wafanyakazi wa Sekta ya Binafsi, Indivual wenyewe ambao wana source of income kuweza kuchangia huo mfuko kwa ajili ya kupata matibabu, kwa maana hiyo yoyote anayekuwepo hapa weather anafanyakazi hoteli na vilevile wale ambao sio Watanzania au sio Wazanzibar ambao wapo Zanzibar kwa kipindi kinachozidi miezi sita wawe wanakuwa intouched lazima wawe wanachama,” amejibu Saada Mkuya.
View attachment 3605405
ZANZIBAR KUNA HOSPITAL GANI MAKUMA HAO NANI AKATIBIWE NA WATU WASIOKUA NA AKILI
 
Mimi sikuona Kosa la Saasa Mkuya, kwanza namjua ni Mama Mzuri mwenye Hakima pia ufafanuzi aliotoa ilikuwa ni kiasi cha bajeti iliyopo na Watu wanaopaswa kupokea hizo huduma, ndio akatahadhrisha ikiwa kuna watu ambao sio Wazanzibar wakazi wanapata hizo huduma na wao kwa hiyo bajeti haitoshi. Akamalizia kwa kusema ni Muhimu ukawa na utaratibu Mtu ambaye sio Mzanzibari Mkazi asitibiwe kwa sababu bajeti ni ndogo
 
Saada Nkuya ni maarufu sana kwa kauli za chuki dhidi ya Tanganyika

Clip ya jana inasema hivi ''.... kwa bajeti ya Trilioni 8 hatuwezi kutibu watu milioni 60''
Watu milioni 60 si wengine ni Watanganyika kwasababu hawezi kufaya reference kwa Kenya au Taifa jingine

Kitendo cha kukataa kauli zake ni kuwafanya Watanganyika wapumbavu, lakini rekodi zinaonyesha huenda yeye kwa kutokumbuka alisema nini ni mpuuzi na mpumbavu zaidi.
 
Back
Top Bottom