KERO Tunaomba mtusaidie kupaza sauti juu ya wizi wa pembejeo za korosho ulio tokea wilayani KIBITI. Wizi huu uliongozwa na Katibu mwenezi wa CCM

KERO Tunaomba mtusaidie kupaza sauti juu ya wizi wa pembejeo za korosho ulio tokea wilayani KIBITI. Wizi huu uliongozwa na Katibu mwenezi wa CCM

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Pembejeo izo vyenye thamani ya milioni 100 na zaidi vineibiwa kwenye godawn kuu la Wilaya ya Kibiti.
Huku kukiwa na juhudi lukuki kutoka kwa viongozi wa Wilaya kutaka kulizima swala hilo

actwazalendo_official-20260609-0001.webp
 
Back
Top Bottom