Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi. Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Baada ya katibu wa CCM uenezi,itikadi na mafunzo kutangazia Dunia kuwa,kuna virus vya Ebola na M pox vitanunuliwa na CHADEMA kupitia makusanyo ya pesa za TONE TONE,vitasambazwa nchini ili...
1 Reactions
10 Replies
492 Views
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) wameingiwa wasiwasi mara baada ya kupokea taarifa ya maboresho ya ujenzi wa mradi wa bandari ya Mwanza ambao umefikia...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
1 Reactions
5 Replies
584 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa leo, wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi, hasa katika mazingira ya kazi. Hali hii inajitokeza wazi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Magufuli, kilichopo Mbezi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, ili kujizuia na fitina na ulozi Usithubutu kutangaza kuwa unagombea ubunge , kuna jamaa yangu wameshamtoa mchezoni huko CCM.
1 Reactions
1 Replies
362 Views
Mwl. Nyerere aliweka dira pevu kwa kutenganisha majukumu ya viongozi watunga sera na watekeleza sera. Leo hii, watekeleza sera ndio viongozi na watunga sera ndo watekelezaji!!!. Unamchukua form...
0 Reactions
7 Replies
411 Views
Habari za Leo Wanajukwaa Wenzangu. Nimewiwa kuleta kwenu Mada hii baada ya kufwatilia kwa kina Mwitikio wa Wananchi katika Kudai Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Katika Ufwatiliaji Wangu...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial...
2 Reactions
4 Replies
524 Views
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima...
10 Reactions
73 Replies
4K Views
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela. Jairo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu — Sh250,000 (siku) Posho kitako — Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs) Mkopo...
28 Reactions
70 Replies
4K Views
Back
Top Bottom