Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM.
Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election"...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemshukuru Mbunge wao, January Makamba, kwa juhudi zake za kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, huku wakieleza kwamba watamchagua tena wakati wa...
Utangulizi
Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya...
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.
no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi...
Habari watanzania wenzangu
Nianze kwa kusema kitu chochote unachokipenda utakilinda ,utakithaminisha na kukitetea kwa gharama kubwa pale unapoona kinaweza kuchukuliwa.
Inasemekana baba wa Taifa...
Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli.
Mwaka wa uchaguzi mkuu...
Naam....
Ndivyo mchezo wa chess ya madaraka ilivyo..... Kutoonekana kwa Mbowe kumewaacha mahasimu wake wakijiuliza, na wengine wakitaka atoe neno tu au ashiriki kwenye ziara zao ambazo...
Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali
Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia...
RC wa Mbeya, Zuberi Homera
Wakuu:
Uamuzi wa TANESCO Mbeya Kukata Umeme Mkoa Wote Siku Nzima Jumapili Wakati wa Ziara ya Lissu ni Tukio la Kinasibu au Hujuma ya Kisiasa, matumizi mabaya ya madaraka...
Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua...
Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana.
So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa...
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa.
Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia...
Kwa sasa CCM ni kama chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa.
Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine...
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni...
Wakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya...
Siku kadhaa zilizopita Tundu Lissu aliukashifu ubunge wa Aida Kenani wa chadema kwamba ni wa kupewa na CCM
Katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Aida Kenani, mbunge wa chadema, mbunge huyo...
Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.