Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi hii kalaa ya watoto kuamka ndani saa9 na kurudi nyumbani saa 4 usiku serikali haioni aibu? Katika majiji yote makubwa hasa Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya watoto wanateseka Sana! Watoto...
3 Reactions
6 Replies
445 Views
Kauli ya Mwenezi CCM Taifa, Comrade CPA Amos Makalla kwamba Chadema wanakusanya Pesa ili wanunue virusi vya Ebola na M-Pox kusambaza Tanzania na kuzuia Uchaguzi usifanyike, ni dhahiri Nafasi hiyo...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
  • Closed
🛑 NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025 NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU...
7 Reactions
80 Replies
5K Views
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar...
4 Reactions
10 Replies
880 Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo, amewasilisha salamu za pole na misaada mbalimbali iliotolewa na Serikali kwa ajili ya Wananchi walio athirika na mvua ya upepo katika Kata...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Makonda apata scholarship elfu.moja kwa ajili ya vijana wa Arusha kwenda kusoma India.Hongera sana Makonda
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu. Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa...
2 Reactions
2 Replies
496 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne...
1 Reactions
1 Replies
425 Views
Ikiwa leo ni siku ya pili tangu ilipotolewa taarifa kuwa msanii Roma Mkatoliki alitekwa na watu wasiojulikana akiwa pamoja na Moni Centrozone, mtayarishaji wa muziki wa Tongwe Records, Bin Laden...
17 Reactions
156 Replies
23K Views
Habarini wadau! Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea. Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki...
5 Reactions
5 Replies
507 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kitunda, Kivule Msongola na Majohe njia 4 ambayo toka makataba wa ujenzi...
1 Reactions
8 Replies
909 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi. Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Baada ya katibu wa CCM uenezi,itikadi na mafunzo kutangazia Dunia kuwa,kuna virus vya Ebola na M pox vitanunuliwa na CHADEMA kupitia makusanyo ya pesa za TONE TONE,vitasambazwa nchini ili...
1 Reactions
10 Replies
492 Views
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) wameingiwa wasiwasi mara baada ya kupokea taarifa ya maboresho ya ujenzi wa mradi wa bandari ya Mwanza ambao umefikia...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Back
Top Bottom