Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,571
Wanabodi

Kuna msemo usemao
"ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji"

Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant.

Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao ni wao, sisi ni sisi?.

Ya wenzetu ni haya:
Loans, trains and automobiles: Did Kenya get a loan to build a railway, or vice versa?
The Chinese-backed Nairobi-to-Mombasa line may never make money

Print edition | Middle East and Africa

Mar 22nd 2018 | MOMBASA

WHEN Kenya launched its new railway last year, connecting the coastal city of Mombasa to the capital, Nairobi, passenger tickets sold out. Travelling between the country’s two biggest cities overland had meant crowding into a bus for 12 hours, or riding the old British-built railway, which might have taken 24 hours. The new line, run by Chinese engineers who wander up and down the carriages, has cut the journey to between four and six hours, depending on the number of stops. The seats are comfortable and, at just 700 shillings (about $7), affordable. Lucky passengers see elephants along the way.

Shuttling passengers, however, is not what the new line was built for. When Kenya borrowed $3.2bn from China for the railway in 2014, the aim was to move freight efficiently between the capital and the port at Mombasa, 484km (301 miles) apart. Unlike the passenger service, the cargo one has been a disaster. The second train out of Mombasa arrived a day late, because it didn’t have enough goods to leave the port. Passengers may find the biggest elephant on their journey is the white one they are riding.

In theory the line should move about 40% of the freight coming inland from Mombasa. The cargo is loaded straight from ships onto trains, which take it to a depot near Nairobi. There it is processed by customs officials. The goal is to relieve congestion on the roads and lower transport costs. One day, it is hoped, the railway will connect all of east Africa. For now, officials would settle for enough revenue to cover the running costs and repay the loans.

But getting importers to use it is proving harder than expected. In its first month the line moved just 1,600 containers out of roughly 80,000 processed in Mombasa. Though the trains go faster than lorries, the line is far less efficient at moving cargo, says William Ojonyo of Keynote Logistics, a Nairobi-based cargo-clearing firm. There have been delays in loading trains. Customs processing at the inland depot is less reliable than in Mombasa. “We are more comfortable dealing with the devil we know, the container on a truck,” he says.

Fees were cut after the first slow month, but traffic did not improve much. On March 1st James Macharia, the transport secretary, sacked 14 out of 16 heads of department at the Kenyan Port Authority, alleging that “cartels” had been obstructing the new railway. Cargo that is not directed to a specific clearing depot in Mombasa has been ordered onto the railway automatically, regardless of its final destination. Importers have arrived in Mombasa to pick up containers, only to find that they have been sent to Nairobi.

Few in Mombasa are pleased by the idea of cargo being sent straight to the interior, bypassing the armies of agents based in the port city. Hassan Joho, Mombasa’s governor, a fierce critic of the new railway, has stakes in two container-storage depots in the city, which the railway could undermine. By moving freight straight to Nairobi, “you’re killing the economy down here,” says Mr Joho’s spokesman.

A bigger issue than cartels in Mombasa ought to be economics. Even if traffic increases, the line will probably not make enough money to repay its debts. In 2013 the World Bank said that a new railway would be feasible only if it were able to move at least 20m tonnes of cargo a year, just about everything that goes through the port. At best, the new line will transport half of that. Some fear that it may not make enough to cover its running costs. If the authorities then skimp on maintenance, the railway could deteriorate quickly.

Before the new line Kenya already had a functional railway—the old British one. In the 1980s it moved about 5m tonnes of cargo a year. It could have been refurbished for perhaps a quarter of the cost of building a new one. But that would not have come with a big Chinese loan or the cash that was splashed out on subcontracts and the land purchases needed for the new line. Some cynics in Nairobi say that building the railway was a way to get a loan, rather than the other way round.

This article appeared in the Middle East and Africa section of the print edition under the headline "Kenya’s white elephant”
Kinachofanya SGR ya Kenya kuwa tembo mweupe ni uwezo mkubwa wa reli hiyo kubeba mzigo mkubwa, wakati uwezo wa bandari ya Mombasa kuclear na kupakia mzigo mkubwa kushibisha reli ni mdogo.

Kwa upande wetu hali ikoje kama hapa tulipo tuu bandari ya Mombasa ni faster.
Kwa vile SGR yetu inaanzia Dar- Morogoro, kwa abiria itakuwa msaada mkubwa. TRC wajenge ICD Moro, Mamlaka ya Bandari waamue, mizigo yote ya containers za Zambia, zikishuka tuu bandari ya DAR, zinakuwa cleared na ZamCargo na kupelekwa straight Tazara, Wazambia wakazipokelee Kapiri Mposhi ili kupunguza msongamano wa malori Tunduma. TPA iamue kuwa ukiondoa mizigo ya Tazara, containers zote za Zambia, DRC na Rwanda na Burundi, zikishushwa tuu Dar port ziende straight to Moro ICD kupitia SGR na Malori yaanzie pale. Tena THA na TRC wakiweza wafufue Bandari Kavu ya Isaka na kuifanya iwe active ili, mizigo yote ya DRC, Rwanda na Burudi, ikishuka tuu Dar Port, inapakiwa straight kwenye SGR, na kwenda Moro na ikifika Moro, inahamishiwa straight reli ya zamani na kupelekwa straight Isaka, malori ya Rwanda, Burundi na DRC yaanzie Isaka.

Bandari ya Mombasa is very busy kwa sababu ya mizigo ya Uganda, Sudan ya Kusini na Tanzania. Hata kama tutaboresha efficiency ya Bandari ya Dar, mizigo yote ya Tanzania itapitia Dar, hivyo bandari yetu ikifanikiwa kwenye hili, mizigo yote ya DRC, Rwanda na Burundi itapita Dar na kuifanya Dar port kuwa the biggest, the busiest na the most profitable kuliko bandari ya Mombasa, lakini bado haiwezi kushibisha SGR ikajiendesha kwa faida, ndio maana wenye kuona mbali, wakaamua tujenge bandari ya kisasa Bagamoyo, na kuziboresha Bandari za Dar, Tanga na Mtwara na ndipo tutakuwa na mzigo wa kutosha kuishibisha SGR na kuiendesha kwa faida. Lakini wakatokea wenye uoni wa mpaka mwisho tuu wa pua zao, wakaambizana eti bandari ya Bagamoyo atafaidi Mkwere, waka abandon hii project.

SGR italeta faida baada ya kukamilika yote na ku link na majirani zetu, ndio maana tunashauri rais Magufuli apewe muda wa kutosha kabisa kukamilisha miradi yake yote, ikibidi kupewa vipindi viwili vya miaka kumi kumi apewe tuu!. Kwani sisi Watanzania tunataka nini?. Tunataka maendeleo na maendeleo ndio haya, why not?!.

Paskali
 
Sisi tunajenga kwa CASH wao wamejenga kwa MKOPO sasa tutajifunza nini kwao, wao ndio wasubiri waje kujifunza kwetu!
Mkuu, Unayosema inawezekana ni kweli japo tumeona mara kadhaa taarifa zikisema kuna mikopo pia imetumika, (tubaki kwenye kuamini kwamba hatujatumia mikopo)


Hizo pesa zinazotumika kujenga hii yetu hazijatoka kwenye shirika la reli zimetoka serikalini, hazijatolewa kama zawadi ule ni uwekezaji, Serikali inaboresha shirika na kuliongezea uwezo wa kiutendaji kwa kutumia pesa za wananchi, hizo pesa zinatakiwa zirudi, hazijatupwa zile, ni lazima zirudi na hapa ndio tunafanana na Kenya

Utofaut wetu ni kwamba wao wako kwenye makubaliano fulani fulani yenye time frame pia wa ulipwaji wa pesa hizo pamoja na riba, sisi hatuko kwenye makubaliano ya namna hiyo, ndicho tunachotofautiana, lakini huku kwingine tunafanana, wote tumeweka pesa chini, shirika linatakiwa lijiendeshe bila kutegemea mgongo wa Serikali, vile vile hiyo pesa iliyowekwa hapo inatakiwa irudi
 
Hiyo reli inatoka Mombasa hadi Nairobi, wakati mizigo mingi ni transit inaelekea maziwa makuu na Kongo,sisi reli yetu itaunganishwa mpaka Rwanda na Burundi na hatimae Kongo ya mashariki,reli ya wakenya ni ya diesel pekee yake,yetu itatumia mafuta na umeme, kwa hio gharama za uendeshaji zitakuwa chini.
 
Nasikia hata mwendokasi tumeijenga kwa mkopo wa world bank. najiuliza kwa hizi nauli zetu za 650 kuja kurudisha hilo deni kuna kazi kubwa sana maana bado kuna operation cost.hapo lazima pesa nyingine tukamuliwe wananchi kupitia kodi napia lazima huduma za kijamii ziwe mbovu. Umuhimu wa PPP hua unaonekana katika miradi kama hii. hapo serikali inatumia nguvu kidogo katika kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji na kuhakikisha inanufaika
 
najiuliza kwa hizi nauli zetu za 650 kuja kurudisha hilo deni kuna kazi kubwa sana maana bado kuna operation cost.hapo lazima pesa nyingine tukamuliwe wananchi kupitia kodi
Ndugu yangu, siyo lazima gharama za kurudisha fedha za mradi zilipwe moja kwa moja na watumiaji (Nauli yao ya sh 650). Hapa kikubwa cha kuzingatia ni kuwa kuna huduma ya Jamii, ambacho ni kipaumbele kwa Serikali kama wajibu wake kwa Raia!
 
Mie kabla hatujafika huko kwenye Reli ya kisasa, napenda kujua mradi wa mwendo kasi maendeleo na ufanisi wake kibiashara ukoje? Pili, ndege zetu tulizonunua kibiashara zinafanya vizuri? Tuanzie hapo kwanza
 
Mi nadhani ni mchawi!!

Wakati watu wanaisifia Kenya kujenga SGR, binafsi nilisema wazi hapa hapa kwamba hii reli Kenya itawatokea puani!!

Ingawaje huwa namsifia sana Kenyatta kwamba ni bepari lililokubuhu, lakini ilikuwa wazi SGR aliijenga kwa mihemuko!

Mosi, alitaka kutupiga bao Tanzania ili hatimae kuimarisha Coalition of Willing na kututenga Tz na,

Pili, ilikuwa ni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ambao ulikuwa jirani!

Mtu hakuhitaji kuwa mtaalamu sana kufahamu hata hiyo CoW ilikuja kwa mihemuko ya hinda ya PK dhidi ya JK na hinda ya Kenyatta kutaka kuipiga bao Bandari ya Dar!

Matokeo yake Kenyatta akafanya massive investment huku akisukumwa na mihemuko!!

What about SGR in Tanzania?!

Tunahitaji SGR... siasa pembeni! The question is: ni SGR ya aina gani na kipaumbele ianzie wapi kwenda wapi!!

Decision makers wameshaamua!! Kujua wamechukua right or wrong direction kunahitaji kufanya data analysis!!

That said; am holding my tongue back!

Jambo lingine ni financing ipo vp!! Hadi leo hii wala hawaeleweki!

Mara wanajenga kwa pesa zetu! Mara mkopo! Mara hivi... mara vile!

Na kama ni mkopo ni mkopo wa aina gani!
 
Nadhan mkuu ulikua na uwezo wa kutumia lugha nzuri tu na ukaeleweka vizuri, si jambo jema kuamka asubuhi yote na lugha iliyosheheni maudhi namna hii
Huu ujinga ndio unaliendesha taifa kwa sasa. Na ni hatari kuliko rushwa na mengineyo.. Hatua ya kwanza kwenye maendelea ni kufuta ujinga, then tutaweza kupambana na matatizo mengine kwakua tutayaelewa kwa kina zaidi na namna ya kuyatatua.. Watu kama huyu nilitemjibu kwa hasira ndio wachangiaji wakubwa wa upatikanaji wa viongozi tulionao kwa sasa.
Upumbavu ni mtaji mkubwa viongozi wasiojua wanafanya nini.
Anastahili jibu alilopewa kabisa.
 
Hii reli inatoka Mombasa hadi Nairobi, wakati mizigo mingi ni transit inaelekea maziwa makuu na Kongo,sisi reli yetu itaunganishwa mpaka Rwanda na Burundi na hatimae Kongo ya mashariki,reli ya wakenya ni ya diesel pekee yake,yetu itatumia mafuta na umeme, kwa hio gharama za uendeshaji zitakuwa chini.
huo umeme wa kuendesha train uko waapiii?
 
Back
Top Bottom