Katibu wa NEC organaizesheni na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Issa Gavu amezindua mradi wa Maduka ya chama Cha mapinduzi yaliopo stendi kuu ya Zamani huku akiwaasa wanachama pamoja na wafabiashara...
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Shamsia Aziz Mtamba, amekabidhi msikiti kwa wahumini wa kiislamu wa Kata ya Ziwani, ikiwa ni hatua muhimu kwa maendeleo ya jamii ya Waislamu katika eneo hilo...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally anazungumzia maoni yake kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura:
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye...
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:
Kupiga Kura ni suala la msingi sana...
CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama...
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka...
Nyota wa Muziki wa Injili, Christina Shusho anasema "Sisi Wananchi ndio wenye maamuzi na ndio ambao tunajua nani anafaa na nani hafai, kutimiza hilo lazima tuwe na uwezo wa Kupiga Kura, hatutakiwi...
Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Akizungumza na...
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili...
Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh ya Haki, Amani na Maadili Tanzania ameoneshwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi...
Mbunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saasisha Mafuwe ameendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika wilaya hiyo kwa lengo lakuwaeleza wananchi yaleyaliyofanyika kwakipindi cha miaka minne...
Mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Mary Sulley umezikwa
, Machi 22, 2025 katika makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Mangafi,Wilaya ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa ufafanuzi na kujibu hoja kuwa taratibu za Kikatiba zilikiukwa wakati wa uteuzi wake katika nafasi hiyo kwa kusema...
Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka...
Kila Jambo ishirikishe nafsi yako sio wapambe
Nawaambie enyi warafi wa madaraka na wapambe wenu Kama hamtanisikiliza mtakufa kabla, ndani au baada ya uchaguzi.
Uongozi mzuri utoka kwa mwenyezi...
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali.
Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa...
Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.