PreGE2025 Mwana FA aanzisha Shule katika Kijiji cha Misufini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,174
Reaction score
17,635
Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule imekwisha sasa. Hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi karibu na kijiji hicho.

Hatua hiyo imechochewa na juhudi za Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mhe. Hamis Mwinjuma baada ya kufika katika Kijiji hicho kwa mara ya kwanza ambapo alikumbana na hali ya kusikitisha ambayo ilimlazimu kuahidi kujenga shule hiyo hata kwa kutumia fedha za mfukoni mwake. Watoto wadogo walimfuata huku wakikabiliana na milima na misitu, wakisema, "Haya ndio maisha yetu ya kila siku.

Pia, Soma: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Bi. Miranda Mpogolo, amekabidhi madarasa hayo kwa Mhe. Mwinjuma ambapo amesema benki hiyo inajivunia kuwa mdau wa maendeleo na inatekeleza sera yake ya uwekezaji katika jamii kwa kutoa asilimia moja ya faida yake kwa miradi ya kijamii.

Nilijua Km 15 na zaidi huku kumbe Km 7 tu
Mpo vizuri
 
Kwamba amesubiri mpaka uchaguzi ndio aanzishe shule ili apigiwe tena kura?
 
Nilijua tayari shule ishaanza kujengwa
 
Muda wa kujipakulia minyama, hapo imejenga CRDB. Huyo mwana FA hamna chochote anachokifanya…
 
Huu ni upotoshaji wa taarifa.
Ilipaswa isomeke kwamba Fulani amepokea majengo ya madarasa yalio jemgwa kwa udhamini wa benki Fulani, na uwasilishwaji huo uliwakilishwa na Fulani kutoka katika bodi ya benki Fulani
Ripoti ipo kichawa zaidi
 
Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule imekwisha sasa. Hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi karibu na kijiji hicho.

Hatua hiyo imechochewa na juhudi za Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mhe. Hamis Mwinjuma baada ya kufika katika Kijiji hicho kwa mara ya kwanza ambapo alikumbana na hali ya kusikitisha ambayo ilimlazimu kuahidi kujenga shule hiyo hata kwa kutumia fedha za mfukoni mwake. Watoto wadogo walimfuata huku wakikabiliana na milima na misitu, wakisema, "Haya ndio maisha yetu ya kila siku.

Pia, Soma: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Bi. Miranda Mpogolo, amekabidhi madarasa hayo kwa Mhe. Mwinjuma ambapo amesema benki hiyo inajivunia kuwa mdau wa maendeleo na inatekeleza sera yake ya uwekezaji katika jamii kwa kutoa asilimia moja ya faida yake kwa miradi ya kijamii.

matumizi mabaya , pale populations ya watoto wa kujaza shule ,ipo wapi, izo pesa zingepelekwa apo shule ya msingi Umba, anasema sijui kamlima ,mbona ni karibu.

Misufini ni eneo walilokuepe wagonjwa wa Ukoma, ambao wamezaa pia ,ila sidhani kama ni sehem ilitaka nguvu kubwa ya kuanzisha shule ,
 
Anaongelea kura kura kura kura tu 🤔🤔
 
Huu ni upotoshaji wa taarifa.
Ilipaswa isomeke kwamba Fulani amepokea majengo ya madarasa yalio jemgwa kwa udhamini wa benki Fulani, na uwasilishwaji huo uliwakilishwa na Fulani kutoka katika bodi ya benki Fulani
Kuna siasa zinafanywa hapo.
Huu ni mwaka wa siasa na wanasiasa hawataki kupitwa na matukio kwenye majimbo yao.
 
Back
Top Bottom