Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...
Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani.
Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameitembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ushirombo (UWASSA) Wilayani Bukombe mkoa wa Geita kujionea hali ya utendaji na utoaji huduma ya Maji wa...
Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu.
Amesema kata zote...
Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo.
Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi.
Hata...
Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la...
Amos Makala akipokea wanachama waliotoka CHADEMA na kujiunga CCM Mbeya leo tar 27/03/2025
CPA Amos Makalla Katibu wa NEC Siasa, itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM amegeuka mwiba kwa CHADEMA.Ni...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la...
Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH
Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi...
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.
Vinginevyo utaaibika mama...
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, ameonyesha kushangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa upinzani wanaodai kuwa hakuna maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa...
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!
Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea...
Mwanachama Wa Chama Cha Demokasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mtia nia wa Urais kupitia Chama hicho, Ndugu Romanus Mapunda, amejitokeza Hadharani na kupinga vikali sera ya " No reform No...
Wanabodi
Kuna msemo usemao
"ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji"
Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant...
Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi...
mitaba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI
1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini...
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi.
Slaa ameeleza hayo wakati wa...
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya...
Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023
Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.