Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amos Makalla, amesema hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuzuia uchaguzi kwa kuwa ni takwa la katiba ya nchi. Makalla amesema hayo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Alhamisi...
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye...
0 Reactions
3 Replies
575 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Wakuu Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali. Pia, Soma Kinondoni...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa msaada wa vyakula vya futari na Eid kwa wafungwa wa Gereza la Wanawake Kingolwira na Gereza la Mahabusu Morogoro. Akizungumza baada ya kupokea...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM. Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Miradi yote inajengwa kwa fedha ya rais samia. Kila fedha ni ya Rais samia. Tuwe na consistence, Like wise, na deni mikopo ya tanzania la liwe ni deni la Rais samia!
24 Reactions
40 Replies
2K Views
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
8 Reactions
70 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana...
0 Reactions
15 Replies
841 Views
Akiwa anapokea ripoti ya CAG na ripoti ya mwaka ya TAKUKURU siku ya leo, Rais Samia amesema kwamba pamoja na mapungufu aliyotaja CAG lakini kumekuwa na ufanisi mkubwa serikalini na kwamba...
9 Reactions
112 Replies
6K Views
Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM. Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani. Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura...
1 Reactions
9 Replies
959 Views
𝐊𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐃𝐢𝐠𝐢𝐭𝐚𝐥 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐳𝐢𝐬𝐢𝐳𝐨 𝐳𝐢𝐧𝐠𝐚𝐭𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐮𝐧𝐢 𝐳𝐚 𝐮𝐚𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐨𝐣𝐢 𝐩𝐚𝐧𝐝𝐞 𝐳𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨𝐡𝐮𝐬𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢, 𝐀𝐧𝐚𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐚𝐝𝐡𝐚𝐛𝐮 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐮𝐩𝐨𝐬𝐭 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐨𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐠𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐥𝐚 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐚𝐩𝐩...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha. Wengi wanajiuliza ni nini...
1 Reactions
12 Replies
968 Views
Na Elly Maduhu Nkonya Afrika ni bara lenye utajiri wa rasilimali za asili, ikiwa na dhahabu, almasi, mafuta, gesi asilia, cobalt, madini adimu, ardhi yenye rutuba, na rasilimali watu yenye nguvu...
1 Reactions
3 Replies
568 Views
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi. Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU. REFORM YA...
13 Reactions
95 Replies
4K Views
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha...
16 Reactions
168 Replies
12K Views
Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa...
35 Reactions
176 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Back
Top Bottom