Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amos Makala akipokea wanachama waliotoka CHADEMA na kujiunga CCM Mbeya leo tar 27/03/2025 CPA Amos Makalla Katibu wa NEC Siasa, itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM amegeuka mwiba kwa CHADEMA.Ni...
0 Reactions
5 Replies
787 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani. Vinginevyo utaaibika mama...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, ameonyesha kushangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa upinzani wanaodai kuwa hakuna maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !! Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea...
3 Reactions
12 Replies
593 Views
Mwanachama Wa Chama Cha Demokasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mtia nia wa Urais kupitia Chama hicho, Ndugu Romanus Mapunda, amejitokeza Hadharani na kupinga vikali sera ya " No reform No...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant...
45 Reactions
226 Replies
29K Views
Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi...
1 Reactions
2 Replies
325 Views
mitaba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi. Slaa ameeleza hayo wakati wa...
2 Reactions
3 Replies
784 Views
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya...
13 Reactions
155 Replies
18K Views
Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023 Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari: Stand ya daladala Bunju imehamishiwa barabara kuu ya Bagamoyo Manispaa imeshindwa kujenga standi hata ya changarawe. Matokea yake...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule...
2 Reactions
10 Replies
747 Views
Wakuu, Kama picha zinavyojionesha Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara yake nchini China. Makala alikutana na Mkurugenzi Mkuu...
1 Reactions
9 Replies
717 Views
Wanabodi heshima kwenu. Mh waziri Mkuu Mjomba, unabakiza miezi michache kabla kumaliza karibia miaka 10 ya uwaziri wako mkuu. Leo hii uaweza kutembea kifua mbele kwa lipi ulilowafanyia watu wa...
15 Reactions
152 Replies
5K Views
Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme...
15 Reactions
113 Replies
4K Views
Kwa structure yake ya uongozi wake wa kitaifa na jumuiya zake ulivyo, ni wazi succession plan ndani ya CCM ni very active practical. Na ni vizuri ikafahamika kwamba, mambo haya ya succession...
2 Reactions
71 Replies
2K Views
Back
Top Bottom