Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani ufisadi na unyonyaji hautokaaa kuisha Tanzania. Hii kampuni ya GSM ni jipuuuuuuu. Yaani Msione hivyo wanatoa misaada ni bonge moja la jipu. Sasa bwana issue iko hivi; Hawa wenye wenye...
8 Reactions
311 Replies
48K Views
Angalia hapa chini siku ambayo utafikiwa Hakuna kijiji kitakachoachwa
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Kijana Riz1 ni the next president in the making. Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi. Kwa sasa...
7 Reactions
159 Replies
6K Views
Akihojiwa na Azam TV, Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa wao kama wapinzani hawatapinga kila jambo litakalokuwa linafanya na Serikali ya awamu ya tano. Amesema kazi yao ni kuisimamia Serikali...
0 Reactions
93 Replies
15K Views
Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyoketi leo hii chini ya Mwenyekiti Jakaya Kikwete imempongeza Rais Magufuli kwa mapambano aliyoyaanzisha na kumtia moyo kuwa CCM,kwa ujumla wake,iko pamoja naye...
1 Reactions
217 Replies
34K Views
HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amekamilisha kuunda safu mpya ya wajumbe wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho ambayo mwaka jana alishindwa kuiunda mjini Dodoma...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the...
22 Reactions
135 Replies
5K Views
Maelf ya wakazi wa mkoa wa Arusha wakiwa kwenye futari.
2 Reactions
8 Replies
639 Views
Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani. Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo...
5 Reactions
7 Replies
730 Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameitembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ushirombo (UWASSA) Wilayani Bukombe mkoa wa Geita kujionea hali ya utendaji na utoaji huduma ya Maji wa...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu. Amesema kata zote...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo. Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi. Hata...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Hili kundi baada ya kutengana na kufariki yule mzee wa kimasai na mmoja kujitoa Je, hili kundi bado lipo au limekufa nalo?
10 Reactions
80 Replies
4K Views
Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election. Katika jambo la...
17 Reactions
59 Replies
4K Views
Amos Makala akipokea wanachama waliotoka CHADEMA na kujiunga CCM Mbeya leo tar 27/03/2025 CPA Amos Makalla Katibu wa NEC Siasa, itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM amegeuka mwiba kwa CHADEMA.Ni...
0 Reactions
5 Replies
787 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani. Vinginevyo utaaibika mama...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Back
Top Bottom