Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia

Mnatafuta matatizo tu. Achaneni na maandamano bhn
Hivi kwa nini mnataka kutuaminisha kuwa maandamano ni dhambi, ni jinai. Anyway katika ukombozi wowote lazima kuna watu watakata tamaa na kuwavunja wengine moyo.
Lakini viongozi wa CCM lazima watambue Tanzania sio mali yao wala hawakuumbwa kutawala. Tanzania ni yetu sote na kamwe hatutambembeleza ama kumuomba mtu haki yetu.
Babu zetu wangekuwa kama baadhi yetu humu hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni.
 
Yule Nabii alikuwa anamsema sana Rais Samia.
Sasa juzi anasema Yesu amemuuliza,"We kijana,kama wewe ungekuwa Ikulu,Rais wa Tanzania,na umepewa habari kwamba vijana wanaleta fujo mitaani,wewe ungefanya nini?"
Basi akatoka pale anasema,"Jamani sijakuwa chawa lakini nadhani mambo mengine haya lazima tuyafikirie upya."
Maandamano yatazimwa kama yalivyozimwa ya Oktoba 29.
 
October 29 wanasiasa na wanaharakati wote walikuwa wamejificha na wengine waliondoka nchini. Vijana wamekufa wamerudi na kauli mbiu WATU WASIOKUWA NA HATIA WAMEULIWA. Mchongo ungetiki kauli mbiu ingekuwa MASHUJAA WAMEIKOMBOA NCHI.

Hizi harakati zote mtu wa kwanza kunufaika nazo ni mwanasiasa, Yani kabla wewe hujapata katiba mpya na hujapata tume huru ya uchaguzi yeye atakuwa amenufaika kwanza kupata mamlaka makubwa ya kisiasa, mshahara mzuri, ulinzi, posho mlima na uhakika wa mambo mengine mengi.

Hawa watu wanapaswa kuwa msitari wa mbele kwenye haya maandamano, wao ndio wanufaika wakubwa wa hizi harakati. Mwananchi hadi upate unafuu wa kupata ajira, huduma za afya kwa gharama nafuu, elimu Bora ni hadi huyu Heche akae madarakani miaka mitatu hadi mitano ndipo atakuwa na uwezo wa kukupa hivyo vitu, ila yeye atakuwa kanufaika na mengi sana kabla yako
 
Hayo ni mawazo finyu sana. Sidhani kama ni rahisi kutuogopesha!!
 
Hakuna mtu anakuogopesha, nimekumbusha tu wanasiasa wanaojipanga kuchukua nchi baada ya maandamano makubwa wawe sehemu ya haya maandamano, wawe sehemu ya haya mapambano, wasikimbie.

Ila kwakuwa naiona akili yako tayari Ina uoga, nikwambie tu RIP Mkuu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom