CCM na Serikali anzeni kujiandaa kwa vikwazo

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,528
Badala ya kuendelea kupambana na ukweli uliowazi, bora mngeanza kujipanga mtaishi vipi ndani ya vikwazo kama mgonjwa wa ukimwi anavyoishi na virusi.

Kama kuna MwanaCCM ana watoto au ndugu wanasoma USA anza kutafuta shule mapema lkn sio EU, kama ulikuwa unaenda vacation US au nchi za EU sahau, na kama una biashara uza hisa, kama una nyumba huko uza, na kama una pesa kwenye benki zao fanya mpango wa kuzihamisha lkn sio Oman wala CRDB Dubai, utanishukuru baadae.

IMG_20260527_185342.jpg
 
View attachment 3596074
Hii ndo orodha ya wauaji? Mbona list bado.. na lile limama lililojipachika uraisi liko kama hippopotamus. na lenyewe lazima liwepo. shenzi sana
 
Badala ya kuendelea kupambana na ukweli uliowazi, bora mngeanza kujipanga mtaishi vipi ndani ya vikwazo kama mgonjwa wa ukimwi anavyoishi na virusi.

Kama kuna MwanaCCM ana watoto au ndugu wanasoma USA anza kutafuta shule mapema lkn sio EU, kama ulikuwa unaenda vacation US au nchi za EU sahau, na kama una biashara uza hisa, kama una nyumba huko uza, na kama una pesa kwenye benki zao fanya mpango wa kuzihamisha lkn sio Oman wala CRDB Dubai, utanishukuru baadae.

View attachment 3596074
useless and completely nonsense 🐒
 
CCM na serikali someni uzi huu wa MALCOM LUMUMBA "Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote".

Naendelea kuwakumbusha mambo yanaenda kwa kasi sana.

HLCOUqMW4AArqQ7.jpeg
 
Back
Top Bottom