Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo kwenye pitapita zangu Mtandao wa X nimekutana na post aliyotuma Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema Bi. Brenda Rupia Jonas yenye clip ya maneno yaliyowqhi kusemwa na Viongozi mbalimbali...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni angalizo tu kwa wale Watia Nia ya Ubunge na Udiwani Siasa ni sayansi Ila kimsingi Chadema watashiriki uchaguzi vinginevyo akina Lucas watakufa njaa kwani bajetya kampeni za CCM itapungua kwa...
1 Reactions
4 Replies
338 Views
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia, Waziri Ndumbaro amewataa wananchi wamuombee Rais Samia apate ushindi wa kishindo 2025 na kwa waliopanga kweka mpira...
0 Reactions
5 Replies
497 Views
Na Mimi kama mwana Kagera nitoe mawazo yangu juu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Nimeona majadiriano ya kila aina ya sababu ya anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera. Ni kwa bahati mbaya kwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Zaidi ya wanachama 50 wa Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM), wakisema walichojifunza upinzani ni ukaidi na vurugu na sio kufanya mambo yenye manufaa kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Wakuu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina fursa wala...
1 Reactions
11 Replies
754 Views
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema wamewakubalia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupumzika. Aliyasema hayo April 13 wakati akizungumza...
0 Reactions
9 Replies
526 Views
Tunaomba Nini? Si Miujiza – Ni Mambo ya Msingi: 1. Katiba Mpya – Ili tuwe na msingi wa haki kwa wote, si kwa wachache. 2. Tume Huru ya Uchaguzi – Ili kura iwe na maana, na si maigizo ya ushindi...
13 Reactions
14 Replies
636 Views
UBI SOCIETAS IBI JUS Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali na kila mtu ni tofauti na mtu mwingine, upekee alionao kila mtu hutofautiana na mwingine hata katika, familia au jamii moja...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya...
-2 Reactions
12 Replies
738 Views
"Katiba ndio imempa mamlaka hayo, Rais. Na nchi zote duniani Mkurugenzi wa uchaguzi, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lazima awe nominated na kuteuliwa na Rais" "Utaratibu huo ndio upo kwenye...
0 Reactions
11 Replies
631 Views
Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 . Huu Uzi utakumbukwa na watu wote CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani . Yaani...
2 Reactions
10 Replies
569 Views
Wakuu, Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni na Waziri wa ardhi wa zamani, John Chiligati amesema kuwa kwa sasa kuna tabia za rushwa zinaedelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kuongeza kuwa pamoja na Rais...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi. Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi...
23 Reactions
171 Replies
10K Views
Haya ndio madhara ya Bunge na Serikali vyote kutoka kwenye chama kimoja. Yaani hizi kamati za Bunge kazi yake imekuwa ni kupongeza tu. Sijawahi kuona hata mradi mmoja ambao hizi kamati zimesema...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…