Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa...
2 Reactions
2 Replies
540 Views
Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema...
16 Reactions
62 Replies
5K Views
Mabadiliko kwa Wabongo bado sana, tusidanganyane kupeana matumiani na ujasiri fake kwenye keybord. Wabongo bado tuko kwenye usingizi mzito sana ziaidi ya usinhizi wa maiti, na nazani baada ya...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Charles Kimei, ametoa onyo kali kwa wanachama wa chama hicho wanaoonesha nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao jimboni humo...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa...
1 Reactions
9 Replies
676 Views
Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
29 Reactions
253 Replies
11K Views
Kulikoni kwenye jopo la mawakili wa Lissu yule wakili nguli Kibatala aliyekuwa wakili wa kesi nyingi za Chadema hayumo? Nauliza tu
1 Reactions
16 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Pale Songea baada ya hali ya kiuchmi kua ngumu kidogo kwa msafara wa chadema Songea, kama kawaida ya tabia yake ya kuomba omba, Tundu Lisu aliomba kuchangiwa pocket money kidogo na wananchi wa...
7 Reactions
112 Replies
3K Views
Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani Unaposema utazuia uchaguzi lazima utambue kauli...
1 Reactions
6 Replies
503 Views
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu. Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya...
2 Reactions
0 Replies
433 Views
MBUNGE LUSENGEKILE AMPONGEZA PM MAJALIWA KWA MABADILIKO YA KITAIFA Mbunge wa Busega Mkoani Simiyu, Simon Songe Lusengekile, ametoa wito kwa wananchi wa Ruangwa, Mkoani Lindi, kuendelea kumuamini...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
"Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia...
1 Reactions
0 Replies
323 Views
MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika. Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na...
3 Reactions
11 Replies
709 Views
Wakuu, Kwa sasa kinachotrend hapa Tanzania ni shtaka la Tundu Lissu kuwa ni mhaini. Kama mnavyokumbuka Tundu Lissu amekuwa aki-push sana agenda ya mabadiliko kupitia No Reforms No Election...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Back
Top Bottom