Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L Kiukweli kabisa mimi...
12 Reactions
130 Replies
30K Views
Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
=== Akihojiwa na kituo Cha Utangazaji Cha Wasafi Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Mhe David Kafulila amesema nia ya Rais Samia ni kuona miradi yote yenye sura ya kibiashara...
34 Reactions
59 Replies
2K Views
Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Dada yetu Halima Mdee 1. Hivi unajua ni kiasi gani umewadharau wananchi wa Kawe maelfu kwa maelfu ambao kura zao kwako hazikuheshimiwa isipokuwa tu uamuzi wa Ndugai mtu mmoja eti ndo ukakuingiza...
16 Reactions
94 Replies
8K Views
Tanzania utoto utoto mwingi Reform ni muhimu kwa nchi yetu sio vyama pekee. sheria nzuri za uchaguzi, mahakama huru na demokrasia ya kuchagua watu kutoka kwa wananchi ni kwa faida yako na kwa...
0 Reactions
1 Replies
256 Views
Naibu Katibu mkuu CHADEMA akizungumza na waandishi wa habari amewataka Watanzania wote kuungana kila mtu kwa imani yake kuomba kwa ajili ya Taifa kuanzia leo Aprili 11, 2025 hadi Aprili 24 2025...
17 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia...
2 Reactions
70 Replies
3K Views
TANZANA – UKRAINE KUONGEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ukraine zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa...
2 Reactions
2 Replies
540 Views
Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema...
16 Reactions
62 Replies
5K Views
Mabadiliko kwa Wabongo bado sana, tusidanganyane kupeana matumiani na ujasiri fake kwenye keybord. Wabongo bado tuko kwenye usingizi mzito sana ziaidi ya usinhizi wa maiti, na nazani baada ya...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Charles Kimei, ametoa onyo kali kwa wanachama wa chama hicho wanaoonesha nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao jimboni humo...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa...
1 Reactions
9 Replies
676 Views
Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
29 Reactions
253 Replies
11K Views
Kulikoni kwenye jopo la mawakili wa Lissu yule wakili nguli Kibatala aliyekuwa wakili wa kesi nyingi za Chadema hayumo? Nauliza tu
1 Reactions
16 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Pale Songea baada ya hali ya kiuchmi kua ngumu kidogo kwa msafara wa chadema Songea, kama kawaida ya tabia yake ya kuomba omba, Tundu Lisu aliomba kuchangiwa pocket money kidogo na wananchi wa...
7 Reactions
112 Replies
3K Views
Back
Top Bottom