Nataka nijue faida za kuwa mjumbe wa NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka nijue faida za kuwa mjumbe wa NEC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fidel80, Aug 31, 2012.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wakuu tumeshuhudia watu wakipigana vikumbo kugombea nafasi kadhaa ndani ya CCM na wengine kuhonga vitumbua ili tu wapate kuchaguliwa wajumbe wa mkutano mkuu au NEC mimi nataka nijue kuwa mjumbe wa NEC CCM kuna faida/maslahi gani mpaka ifike hatua watu wanatishana na bastola? Je kuna marupu rupu na posho ma/kubwa kwenye uwakilishi wa ujumbe wa NEC? Ni nini haswa faida kuwa mjumbe wa NEC mpaka mtu anadiriki kutumia mamilioni ya shillingi ili awe tu mjumbe je anapata faida gani? Akina zomba, Ritz, Rejao, Kibunango na wengineo naombeni nifahamu faida zake.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Faida moja wapo ya kuwa mjumbe wa Magamba-NEC ni kula Posho, kupewa ukuu wa mkoa au wilaya.
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kuwa ndani ya NEC ni tiketi tosha ya kukutana na wakubwa,
  kuukwaa ukurugenzi katika taasisi za serikali, kufanya biashara
  yoyote unayoitamani, kukwepa kodi nk...
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Haiwezi kuwa hiyokwa sababu wanaopigana vikumbo hivyo wengine ni mafisadi wakubwa wana hela nyingi na hawana shida na viposho uchwara wala hivyo vyeo vya DC au RC.
  Ipo sababu nyingine kubwa ya uficho ambayo tuitafute tuijue maana watu wazima na vyeo pamoja na fedha walizonazo kama wana tumia Bastola kutaka kutoana roho si jambo la mchezo.
  Subirini Malima akirudi Mkuranga naye akawatolee ile SMG yake ndio mtakapowajua Al shabab (CCM) ni chama cha aina gani na nini umuhimu wa kuwa mjumbe wa NEC
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuuu kuna pesa huko duuu!
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,636
  Likes Received: 1,421
  Trophy Points: 280
  Ngoja tusubiri majibu toka kwa mh kigwangalla
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Faida zingine ni kwamba unakuwa juu ya Sheria, Unaweza Endesha gari bila hata kuwa bima na usifanywe chochote, Utafanya kila Aina ya Ufisadi ikiwemo kuuza Wanyama Nje ya Nchi
   
 8. m

  mayengo Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NEC ni chombo kikubwa sana ktk chama. Ni rahisi kupata rushwa na ahadi kemkem wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea urais.
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Unakuwa unauza sura kisha dili zako chafu zinafichwa we unatengeneza mapene.
   
 10. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  National execution committee,
   
 11. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u become among the 5% of this country who share 75% of the national resources.
  NOTE:One day God will punish u all for this.
   
 12. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Njia moja kubwa ya kuficha ufisadi wako ni kuwa mjumbe wa NEC ya ccm, huoni mafisadi wote wanapigana vukumbo kuingia kwenye kundi hilo; kuanzia Kimbisa, Chenge,Lowassa, Membe, Sitta, Karamagi mpaka Lukuvi wote wanataka kuingia humo!!
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mjumbe wa nec manake ni mujumbe wa kikao cha juu kabisa cha maamuzi cha chama kazi yake kubwa ni kutoa dira na mwelekeo wa chama iwe ccm au tlp au chadema.tusipindishe ukweli na maana za vitu
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mana ya nec kama ingekuwa kampuni ni board of directors.nec ya ccm ndio inayoandaa ilani ya uchaguzi ya chama
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  naona unajaribu kuelezea ujinga wa akili yako hapa mbele za watu.
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ningekuwa na akili ya kipuuzi kama ya kwako ningeamua kwenda mirembe
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kigezo cha kwanza huwa ni uzalendo,uaminifu na uchapakazi.hayo uliyoandika wewe ni uzushi mtupu
   
 18. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio uzalendo kama wa chenge kuficha vijisenti vya rada nje, lowasa na richimond, hata kuuza wanyama pori hai nje na kuingia mikataba ya kimangungo tena kwa ari, nguvu na kasi zaidi. bila ya sifa hizo ujumbe wa nec utaishia kuusikia tu.
   
 19. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nyie ndo mafisadi mapapa mnalinajisi taifa hili ndo maana linarudi kinyume nyume
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Vigezo hivyo vilitumika enzi za Nyerere nec ya sasa wanaangalia uwezo wa pesa wa mtu nitajie mkulima/mfanyakazi gani ni kapuku ndani ya nec.
   
Loading...