Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza napenda kupongeza taarifa iliyotolewa leo baada ya majadiliano ya karibia miezi miwili na Barrick. Tumepata tulichopata na makubaliano mengine ambayo itabidi tusubiri kuona faida yake huko...
18 Reactions
87 Replies
7K Views
Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama...
6 Reactions
8 Replies
509 Views
MACHI 30, mwaka huu, gazeti moja la kila siku nchini liliripoti kuwa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani, limesitisha msaada wa zaidi ya dola milioni 700 kwa Tanzania, kiasi ambacho...
4 Reactions
56 Replies
10K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Andrew Kainja tarehe 03 Februari, 2025 ameongoza Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaliyofanywa na Jumuia ya UWT...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Wakuu Wabunge leo katika kikao chao cha sita katika mkutano wa 18, baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu, watapokea na kujadili Taarifa za Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii pamoja na Kamati...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Dkt. Emmanuel John Nchimbi (24 December, 1971) alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani Desemba 2013, ni sababu zipi zilipelekea kujiuzuru? Dkt Nchimbi ni nani hasa? Elimu yake ya Msingi aliianzia...
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Mbona imechokwa mapema, naona tangu uchaguzi umalizike hivi sasa zii. Au ulikuwa moto wa vifuu? Lema kaenda likizo?
0 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, 1. MBUNGE WA BUKOMBE - Dotto Biteko Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ubunge: Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bukombe mkoani Geita mwaka 2015 na alishinda kwa kura 71,640 dhidi ya 11,433 za...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wananchi na wanachama wa CCM msipokuwa makini ,kuna hatari ya chama kutoka kuwa chama cha mapinduzi na kuwa chama cha familia na koo tu. Hapa nazungumzia hasa katika ngazi ya juu ya kiutawala ya...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Sijui ni kina nani ambao hawakuwahi kuandika kuhusu utegemezi. Mimi si mmoja wao. Msimamo wangu kuhusu misaada ya kigeni haujaibuka sababu ya MCC kusitishwa kama baadhi ya watu wanataka tuamini...
29 Reactions
228 Replies
19K Views
Maana hata 26 April hatusemi ni Birthday bali Sikukuu ya Muungano Nimekaa pale kuelimishwa Lucas Mwashambwa , ChoiceVariable 😀
0 Reactions
10 Replies
322 Views
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila. Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania...
6 Reactions
100 Replies
6K Views
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi...
5 Reactions
434 Replies
47K Views
Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel Bony aliongozana na washkaji wawili ambao...
23 Reactions
53 Replies
5K Views
Hawa Askari wetu wanafanya kazi kubwa na Ngumu mnoo, Mvua yao, Jua lao . Watanzania wachache Kwa upuuzi na makusudi yao, huamua kwenda Kumpa Hela Askari , wakati fulan Askari anaipokea akijua ni...
1 Reactions
4 Replies
529 Views
Wakuu Joto kuelekea Uchaguzi == Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo...
0 Reactions
9 Replies
657 Views
Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema. Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Haya ni mawazo na mtazamo wangu Tu na sio lazima ukubaliane na mimi! Kwa jinsi mambo ya uvunguni ya shirika kubwa la misaada la USAID yanavyozidi kuweka wazi na jinsi myororo WA ushahidi...
2 Reactions
4 Replies
981 Views
Back
Top Bottom