Pre GE2025 Mtwara: Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
1,124
2,195
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama.

Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kwenye hafla fupi ya kusherehekea miaka 48 ya chama hicho iliyoambatana na kufanya usafi kwenye ofisi ya CCM kata ya Shangani, Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara Mjini mkoani Mtwara, Fadhil Mrami amesema mara kadhaa wanawaomba vijana kutumia mitandao kwa maslahi yao binafsi na chama chao kwani mambo mengi yanafanyika kidijiti.

Snapinst.app_472634425_18095938801513179_3931329736356093649_n_1080.jpeg
 
Sio kwa manufaa ya taifa? Hii nchi ina viongozi wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom