Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

The Hon. Chief Justice Mohamed C. Othman. At this time in the country's history it is hard to believe that there is an independent and working judicial system, it is hard to believe there is a...
9 Reactions
46 Replies
8K Views
Watu wengi wanajisahau na kujitoa fikra. Chadema kutokushiriki maana yake ni kwamba kuna Watanzania wengi hawatoshiriki uchaguzi hasa wakijua matokeo kama 2019, 2020, na 2024 yamesha pangwa. Kwa...
6 Reactions
8 Replies
574 Views
Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya...
1 Reactions
16 Replies
825 Views
Chadema waache kukurupuka. Bahati mbaya wengi wao elimu yao ya kuunga unga hawajafika Chuo Kikuu.... Wangemjua huyu profesa =========== Huyu ni Prof Michael Ndanshau, Mhadhiri Mwandamizi wa Uchumi...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Yaani huu ndiyo ukweli mchungu, tunaenda kuona mmoja baada mwingine akijiondoa kimyakimya sababu hamna maslai tena, watabaki tu wafia chama,hamna kura feki,hamna mtu kukatwa sijui kakosea kujaza...
3 Reactions
5 Replies
467 Views
Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
28 Reactions
41 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi. Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Ogopa ku deal na watu wasio na aibu, hawa watu hawana ustaarabu na hawawezi kujisikia mshipa wa aibu. Kama kulikua na madudu ya kupita bila kupingwa, kura ziliokotwa kama karanga kule kawe...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya kufunguliwa Kwa pazia na kupulizwa kwa Filimbi ya kuchukua Fomu za Kuomba kuteuliwa nafasi za kugombea Udiwani na ubunge ndani ya CCM. Nilikuwa nashauri na...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili...
10 Reactions
172 Replies
5K Views
Na. Alloyce, P.R. Utangulizi Uchaguzi Mkuu wa 2025 unatarajiwa kuwa mojawapo ya matukio muhimu katika historia ya siasa za Taifa letu (Tanzania). Katika mazingira ya kisiasa yanayobadilika kwa...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba, Chadema ni dude moja kuubwa sana na...
9 Reactions
18 Replies
886 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu, amesema kuwa Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, haina nina ya dhati ya kutimiza ahadi za maridhiano, kwa kuwa vyombo vya dola bado...
4 Reactions
12 Replies
904 Views
Hili ni darasa kwa watawala walioshupaza shingo kupora uchaguzi, uhuru na utu/haki ya wananchi!
7 Reactions
11 Replies
600 Views
Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu...
2 Reactions
9 Replies
492 Views
Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo...
15 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM! Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Ataibuka mtu kutoka chama kimojawapo kati ya vyama shikizi 19 au kutoka G55 au kutoka COVID-19 au CCM yenyewe au hata kutoka "wanaharakati" ataenda mahakamani kudai CHADEMA kuzuiliwa kushiriki...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Moja ya vyama vilivyowahi kuitikisa Nchi katika nyanja ya kisiasa ni NCCR-MAGEUZI iliyokuwa ikiongozwa na Marehemu Lyatonga Mrema na prominent figures wengine kama Wakili Mabere Marando. Uchaguzi...
4 Reactions
18 Replies
941 Views
Back
Top Bottom