Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na...
2 Reactions
12 Replies
614 Views
Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na...
1 Reactions
1 Replies
251 Views
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025...
2 Reactions
13 Replies
819 Views
Nmeshangaa tu. Kuna watu wazima wengi na wasomi. Hakuna ambaye ana hekima,busara na akili akaweza mwelekeza samia haya mambo?
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kuwa yule chawa namba moja wa Mzee Freeman Mbowe atajiunga na chama cha ACT kufuatia CDM kususa uchaguzi wa mwaka 2025. Ndugu yangu ninakuomba tu usdhubutu kuja huko kwetu Vunjo...
0 Reactions
4 Replies
428 Views
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko. Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi...
5 Reactions
108 Replies
4K Views
08 April 2025 Dodoma, Tanzania Katika hali isiyo ya kawaida mbunge aomba bunge lisitishwe ili lijadili barabara ya kutoka Dar es Salaam hadi Mtwara iliyokatika katika Daraja la Somanga Mtama...
2 Reactions
6 Replies
955 Views
Serikali imeahidi kulipa madai ya fidia ya shilingi bilioni sita kwa wananchi waliotoa maeneo yao ili kupisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko mkoani Lindi kabla ya Juni 30 mwaka huu...
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama...
10 Reactions
101 Replies
6K Views
Chama Cha Watia Nia ni ACT Wazalendo,wale G55 waamue wasuke au wanyoe. https://www.instagram.com/p/DIV1O5XC4pr/?igsh=YWttazI3NGhnM2lu My Take Ni kuwa mpumbavu endapo mtashikiwa akili na mtu mmja...
1 Reactions
92 Replies
3K Views
1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga. 2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Ikiwa CHADEMA wamesusia uchaguzi Wana CHADEMA twendeni na CHAUMMA
0 Reactions
3 Replies
315 Views
Wananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini? Why Awamu ya 6 itengeneze kesi...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
WAZIRI KOMBO AWASILI ANTALYA KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasili jijini Antalya, Uturiki kwa ziara ya...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Tanzania's opposition leader Tundu Lissu arrested after rally | Africanews Tundu Lissu among Tanzania's top Chadema figures arrested in crackdown Tanzania clamps down on opposition rally, arrests...
28 Reactions
58 Replies
4K Views
Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%, Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza...
18 Reactions
115 Replies
5K Views
Mbunge mmoja amemuomba Naibu spika wa Bunge kuahirisha shughuli za Bunge na wajadili kuhusu Penati za Simba dhidi ya Al Masri Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 -...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia , Wana - Rorya na Watanzania wote kwa ujumla kwa kuondokewa na Mzee wetu , Daktari Bingwa wa Mifupa Professor Philemon Mikol Sarungi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom