Wakuu,
Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya.
Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0
Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu...
Chama Cha Mapinduzi kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amani na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Steve Wasira amewaagiza Wenyeviti wa CCM ngazi za mkoa na wilaya nchini kusimamia maadili wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu ili kuwapata...
YEYOTE ANAYESEMA KUTOSAINI KWA CHADEMA KANUNI ZA MAADILI IMEJIONDOA KWENYE UCHAGUZI NI MAAMUMA WA SHERIA
YEYOTE ANAYESEMA KUTOSAINI KWA CHADEMA KANUNI ZA MAADILI IMEJIONDOA KWENYE UCHAGUZI NI...
a. Sababu ya kwanza na ya msingi ni kuwa Mzee JM ni kiongozi aliyeshindwa. Hakuna kiongozi mwingine yeyote katika historia ya Jamhuri yetu ambaye ameshindwa kiuongozi kuliko Mzee JM. Katika muda...
"CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO...
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa mtindo wa kufanya fujo na kusababisha uvunjifu wa amani kwa visingizio vya dini nchini ni biashara inayolipa na ndiyo maana wakereketwa wa kufanya hivyo hawaishi...
Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu.
Umaskini wakutengenezwa unatuumiza...
Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza...
Bungeni leo Aprili 14, 2025, Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amehoji kuhusu hatua za Serikali kudhibiti pombe kali zinazoingizwa nchini ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuharibu afya...
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS
Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika...
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na...
Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia?
Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na...
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe...
Kipindi Cha uchaguzi wa mwaka 2020 zilitolewa ahadi kede kede ikiwemo ujenzi wa "flyovers" Kwa junctions kama magomeni, Morocco, na mwenge.
Hizi zingesaidia sana kupunguza foleni katika Jiji la...
•Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.