Bungeni leo Aprili 14, 2025, Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amehoji kuhusu hatua za Serikali kudhibiti pombe kali zinazoingizwa nchini ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuharibu afya...
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS
Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika...
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na...
Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia?
Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na...
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe...
Kipindi Cha uchaguzi wa mwaka 2020 zilitolewa ahadi kede kede ikiwemo ujenzi wa "flyovers" Kwa junctions kama magomeni, Morocco, na mwenge.
Hizi zingesaidia sana kupunguza foleni katika Jiji la...
•Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa...
Chama cha Mapinduzi hakifikirii kuiachia dola kwabsabu uwezo wa kuihudumia nchi wanao, Katibu wa Siasa , mafunzo na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, alipokuwa akizungumza na Banana...
Taarifa iliyosambazwa na Chama Hicho kote Duniani hii hapa.
Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama Mikocheni
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu nchini kupuuza wanasiasa wanaopandikiza chuki na kuhamasisha...
WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara...
Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
PIA, SOMA:
CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia...
HOTUBA YA WAZIRI MKUU inajadiliwa Bungeni na mawaziri mbalimbali wanajibu hoja kwanini Dotto Biteko hapewi nafasi na Spika kujibu hoja za wabunge kama Naibu Waziri Mkuu?
Nimefuatilia sana suala...
Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na...
"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa...
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rumeleza Nshala
Baada ya kukwepa kwenda kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi Aprili 12, 2025 jijini Dodoma, Chama hicho sasa kinasema haki ya kutia saini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alifanya mazungumzo ya kina na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO), Dkt. Kunio...
Katika ulimwengu wa sayansi na technologia ni vigumu kuepuka assassination attempt. Ata US secrets service waliomlinda Trump walizidiwa.
Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana...
Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.