Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA Katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 hadi Februari, 2025, Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi imepima viwanja 7,550 katika Mikoa ya Morogoro, Tanga...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
MV UKEREWE MBIONI KUKAMILIKA Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inatekeleza mradi wa ujenzi wa vivuko vipya 6. Moja ya Vivuko hivyo ni Kivuko MV. UKEREWE ambacho...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
MWL. MBELWA AIKACHA CHADEMA, APOKELEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA WASIRA! Na Grace Mpondwe. Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la...
0 Reactions
5 Replies
727 Views
WASIRA AYAMALIZA NA MBELWA PETRO WA CHADEMA ZIARA YAKE YA KWANZA MKOANI KAGERA Na Grace Mpondwe. Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Wakuu! Hii sasa siyo siasa tena, ni maigizo ya waziwazi bungeni! Naibu Waziri Ummy Nderiananga anapata nafasi ya dakika chache kujibu hoja muhimu kwa mustakabali wa taifa, lakini anatumia zaidi...
2 Reactions
8 Replies
472 Views
Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mafanikio makubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Historia inaonesha wanaokandamizwa kama hivi huja kuibuka na kuwa washindi.... upepo unaonesha nini kwa Tanzania? ==== Anaandika Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la...
16 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha...
0 Reactions
7 Replies
766 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Segerea Mkoani Dar Es salaam, Bw. Patrick Asenga amesema taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa amefurushwa kwenye kikao cha...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 9, 2024 Jijini Dodoma ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atasoma hotuba ya bajeti ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026...
0 Reactions
7 Replies
820 Views
Ukitaka kujua Tanzania kuna wansiiasa waongo Tanzania mfano mmojawapo ni Askofu Gwajima. Msikilize akiongea uongo mchanna kweupe https://youtu.be/3TP3YX-9Y5c?si=-YCeQvTrMIOY2Cqz
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Hii jamii ya kisukuma inaonekana imekaa kibaguzi, Magufuli aliibagua sana Arusha, alihamisha hata sherehe za kutunuku kamisheni wanajeshi ikulu Dsm wakati chuo kilichowafundisha wanajeshi kipo...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Ukiangalia mijadala ya Bungeni na ukija ukiangalia mijadala ya Wabongo mitaani basi ufanano ni mkubwa sana. kwa kifupi Bungeni pale ni reflection ya akili za Watanzania mtaani. Bunge liko busy na...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Salaam Wakuu, Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na...
26 Reactions
119 Replies
14K Views
Kwamba kwenye masharti na hili #12 limo? Na bado watu wameanguka? Heko CHADEMA kwa kutokuwa tayari kuyaiga ya Mangungu!
23 Reactions
66 Replies
3K Views
Back
Top Bottom