Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba.
"Tumegundua wazi watu...
Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali.
Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa...
Katika kujenga hoja yangu naomba nitoe mfano mdogo. Juzi Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitoa tamko la kuifuta Chadema katika uchaguzi. Tume hiyo inaongozwa na wanasheria na wataalamu mbalimbali...
Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki.
Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo...
WATU HAWAITAKI KABISA ELIMU YA VITABU
ILA
WANATAKA VYEO
KWA SABABU GANI !?!?
KWA SABABU NI WEZI WALIOVAA NGOZI YA MWANAKONDOO HUKU WAKIWA NI MBWA MWITU.
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho...
RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha...
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa...
Kabla ya kutunga kanuni ndani ya ssem lazima kukaa na kufikiri
tujiepushe na uvunjifu wa katiba ya CCM na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tukilazimisha kwa maslahi binafsi kupitisha...
Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais.
Kwanini? Kwasababu...
Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi
In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was...
Wakuu,
Machi 7 Amos Makalla alisema CCM kwenye kikao cha ndani ilifanya marekebisho makubwa mawili katika mchakato wa uteuzi. Kwanza, kutakuwa na uchujaji wa wagombea kabla ya kura za maoni...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi...
Daima huwa nnawalaumu Sana Wana Chadema kwakuwa wabwatukaji, na watu wa maneno ya fedheha na dhihaka Huku wakikosa kabisa kuwa watu wenye kutoa hoja na kusimama hoja zao.
Hiki ni kilema serious...
Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameendelea kuchanja Mbuga Barani Afrika katika kuwasilisha ujumbe wa Rais Wetu Mpendwa...
Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake.
Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na...
▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku
▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao
▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji...
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.
Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.