Lissu amechemka, angeanza na reforms ndani ya CHADEMA kwanza

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,409
Reaction score
31,916
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
 
Lissu na genge lake wamepewa KAZI ya kuuwa chadema
 
Kaka,
Unapoteza muda wako tu. Walichoamua wameshaamua na kiko sahihi kwao.
Wao wameshagundua kwamba ile G55 ni pandikizi kuwavuruga, so wamewapuuza na hata wao G55 wamejipuuza maana hakuna mwana cdm ako anawafatilia.
Wewe ungeendelea na inshu zako za ccm, huku waache wenyewe
 
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
Zoezi lililo mbele ni uchaguzi mkuu. Reforms za cdm zingefanyika baada ya uchaguzi mkuu, kipi huelewi hapo?
 
Sijui kama kuna ambaye anaweza kukuelewa...kwa hiyo mlitaka muingie kwenye uchaguzi baada ya hapo ndio reforms za chama zifanyike?
Nani awape nchi kwa majaribio?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
😂😂ccm mmekuwa kama vitetea KILA baada ya dk moja mnakuja na uzi wa Lissu... Vipi huko ccm hakuna mabwana wenye nguvu mpk mnataka Lissu kiasi hiki!. Lissu amesema kama hakuna reforms hakuna uchaguzi NYIE mnachoumia ni nini?, Si mlitaka ushindi wa kishindo?, Kuna ushindi mzuri kama kushindana na mpinzani unaemweza? Basi shindaneni na hao mashoga zenu 18 tuone hizo kura mtaziibia wapi😃😃.
Mwizi akiona aliyekuwa anamuibia kaimarisha usalama basii anachukia pyeeee. Chura ccm
 
Zoezi lililo mbele ni uchaguzi mkuu. Reforms za cdm zingefanyika baada ya uchaguzi mkuu, kipi huelewi hapo?
Basi sasa fanyeni reforms kwenye chama chenu basi kwa kuwa uchaguzi basi tena mpaka 2030.
 
Hilo halikwepeki. Hizi za tabia za viongozi kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi zifike mwisho. Una lingine?
Viongozi wapi wanaokaa zaidi ya miaka 10 wa CDM au CCM?
 
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
Utataga tu hatakama ni Nanasi
 
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
It is never too late in life,

Uchaguzi ni mojawapo ya reforms, na Ndiyo lengo kuu la chama cha siasa

Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola,

Changamoto za chaguzi za Tanzania ni uchafuzi wa uchaguzi unaofanywa na tume ya uchaguzi, (uchafuzi), ni uchafuzi kwasababu tumeshuhudia watu wanauawa kwa mtutu wa bunduki na mapolisi wizi wa wazi wazi wa kura na hata CCM kwenda maporini
 
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?

Dah ushaingiza ela ya leo hapo
Haha mnapata ela kirahisi sana
 
It is never too late in life,

Uchaguzi ni mojawapo ya reforms, na Ndiyo lengo kuu la chama cha siasa

Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola
aliahidi nini wakati anagombea uenyekiti?
 
Reforms za Chama naamini zitafanyika tu Jingalao, kwani Lissu amekaa madarakani miaka mingapi adi umlaumu kwakutokufanya Reforms ndani ya chama?
Alafu mbona wana ccm ndo hawapumui kwa chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu kuliko wanachadema wenyewe. Kila baada ya sekunde kuna uzi mara chadema inaenda kufa, mara chadema hiki mara kile, waacheni na maamuzi yao.
Mlishadadia Mbowe kukaa madarakani miaka mingi sasa kaja Lissu mnazua mengine. Issue za utekaji na watu kupotea kimyaaaaaa, mapori flani flani mmefyata.
 
Back
Top Bottom