Kwa macho ya mwanadamu Dr. Mpango anaonekana ni mcha Mungu

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
702
1,034
Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu.

Umaskini wakutengenezwa unatuumiza sana.

Watanzania tunaumia, 😭😭😭
Watanzania hatuna furaha kabisa,😭😭😭
Mioyo yetu imekufa ganzi 😭😭😭
Tumepoteza muelekeo.
Tumechoka

Hatuwezi kujadili maendeleo ya nchi yetu kwa uwazi tena.
 
Mpango ametumika vya kutosha,anaenda kupumzika,unataka aendelee vijana wa kimaskini,wenye uchungu na taifa na ni wazarendo watapata wapi nafasi ya kuliongoza taifa hili?.
 
Nasikia Yule Mzee ni RC wale kindakindaki halafu kaja kuwekwa na Ustadhati wa Zenji. Naona kachomoa betri.

Japo nasikia huko Sijui chanika Hana ujirani mwema na majirani zake..... sijui kama ni kweli
 
Upo sahihi kadiri ya heading ya uzi wako
 
Mpango ametumika vya kutosha,anaenda kupumzika,unataka aendelee vijana wa kimaskini,wenye uchungu na taifa na ni wazarendo watapata wapi nafasi ya kuliongoza taifa hili?.
Sio lazima awe rais, kuna njia nyingi za kuliokoa taifa. Ila ikimpendeza Mungu, hata akimpa urais sawa tu.

Mungu pekee ndiye anayejua kuchoka kwa mtu coz anaweza kumpa mtu uhai na nguvu.
 
Angekuwa mcha Mungu asingekubali kuingia katika siasa za Ccm .

Anachofanya Mpango ni kujaribu kuacha legacy ambayo haipo .
 
Nasikia Yule Mzee ni RC wale kindakindaki halafu kaja kuwekwa na Ustadhati wa Zenji. Naona kachomoa betri.

Japo nasikia huko Sijui chanika Hana ujirani mwema na majirani zake..... sijui kama ni kweli

Mpango na yeye halikuwa halitaki bwawa.

Baada ya magu kufa mpango alianza kulisema bwawa vibaya.. watu wakamuona ni mnafiki amepewa rushwa na kampuni za gesi.

Mbona hakulikataa bwawa wakati magufuli yupo.

wenzake Mama samia na majaliwa walibaki na msimamo wao ule ule kwamba bwawa litaendelea kujengwa mpaka limalizike, hata kama magu kafa wao hawaliachi
 
Mpango na yeye halikuwa halitaki bwawa.

Baada ya magu kufa mpango alianza kulisema bwawa vibaya.. watu wakamuona ni mnafiki amepewa rushwa na kampuni za gesi.

Mbona hakulikataa bwawa wakati magufuli yupo
CCM wote ndio walivyo Ndugu yangu
 
Back
Top Bottom