https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk
Anasema;
• Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na...
Wakuu,
Zoezi la kujiandikisha halijaisha!
Kuna wale watu ambao walikuwa hawajajiandikisha kwenye awamu ya kwanza zoezi la kusajili wapiga kura.
Tume kwa sasa ipo kwenye awamu ya pili ya zoezi...
Ndugu,
Katika kutafakari tunayoyaona na kusikia ndani ta Tanzania na majibu au kejeli zinazosemwa tunaona Tanzania hatuna serikali bali tuna madalali.
Kwanza imekuwaje UVCCM kujiunga na mashoga...
MKE WA RAIS WA MSUMBIJI AVUTIWA NA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Gueta Selemane Chapo, ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Baada ya Bunge la Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu ukiukwaji wa haki za Binadamu Nchini Tanzania ikiwemo mashtaka yanayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kutoa azimio...
Hata wakihama wanachadema wote hawatapunguza hata nukta Moja ya umaarufu wa Tundu Lisu
Hivyo nyie Chadema msituchoshe na Visiasa vyepesi vywpesi jifunzeni Siasa makini kutoka chama dume CCM...
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa...
Anaandika John Mnyika kwenye ukurasa wake wa X:
Nimewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe amenieleza hana dhamira ya kugombea urais, ubunge au uongozi wa chama chochote cha siasa katika...
Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo...
Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua...
Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata.
Ila tumeoma wasanii...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, CPA. Amos Mkalla, amepiga goti kuwaomba wakazi Mvomero, wamruhusu aendelee kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan na kwamba sasa siyo...
Wana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda.
Rejea mada tajwa hapo juu
Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania...
Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na...
Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya...
Rais wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki.
Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela...
Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo!
1. Mara Mwenyekiti wa maisha...
2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake...
3. Mara CHADEMA ni Chama cha...
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa politics of supremacy na politics of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.