Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Udhalilishaji wa wanawake ni kikwazo kikubwa kinachozuia ushiriki wao kamili na salama katika siasa, hasa kwenye nafasi za uongozi na maamuzi. Wanawake wengi huogopa kujihusisha na siasa kutokana...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo. Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7...
2 Reactions
11 Replies
786 Views
Kifalsafa Wasanii ni wabudurishaji ( entertainers) ndio sababu kwa miaka 20 ya Freeman Mbowe madarakani Chadema kimekuwa Chama cha Furaha na kuburudisha Ikumbukwe Freeman alikuwa ndiye...
1 Reactions
11 Replies
768 Views
"Kwenye suala la Bunge, Bunge letu ni kubwa ukilinganisha na wafadhili wetu (Marekani inatufadhili, India inatufadhili nk), sisi Tanzania tuna watu milioni 60+, Marekani ina watu milioni 350+...
1 Reactions
14 Replies
787 Views
Ikumbukwe Mbowe alirejea nchini baada ya kifo cha Magufuli na alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi wa kupanga njama za kuuwa viongozi Wakati huo Mbowe alikuwa Mwenyekiti wa Chadema kama Alivyo Tundu...
2 Reactions
9 Replies
617 Views
Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya...
12 Reactions
80 Replies
2K Views
Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
3 Reactions
3 Replies
421 Views
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Wamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa; KUNA MSHAMBA FLANI ATATEMA AU KUTEMESHWA BUNGO MUDA SI...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu...
1 Reactions
6 Replies
971 Views
Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo. --- Wakati Jeshi la Polisi...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi...
0 Reactions
13 Replies
992 Views
Wakuu, Kwanza ningependa kumpongeza Charles William kwa kufanya mahojiano yenye level kubwa sana ya professionalism. Yaani ameweza kuuliza maswali kwa huyu Salim Mwalim mpaka akaanza kujikanyaga...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika...
58 Reactions
155 Replies
15K Views
1. Taarifa mapema kuhusu kukamatwa ni muhimu sana. 2. Kamwe usiamini majibu ya polisi. 3. Ukiambiwa jidhamini uondoke na uko peke yako usikubali, wanakusainisha umejidhamini ukishasaini dhamana...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kuwa uchaguzi utafanyika hata bila ushiriki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
5 Replies
522 Views
Kitendo cha kundi la G-55 kujiondoa ndani ya CHADEMA kimeniamsha fikra juu ya jambo la msingi sana kuhusu uhai wa vyama vya siasa—kuwa si kila msongamano ni mshikamano, na si kila idadi ni nguvu...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Wakuu Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom