Nieleweke, simchukii Rais wangu, nampenda sana.
Ila Rais huyu kiujumla, anawaogopa wasanii.
Wasanii wengi hawana hata maadili—watamsaidia nini? Mbele ya Rais wa nchi, mhuni mmoja anasema...
Salaam wana jukwaa!
Leo ni siku ya mazishi ya mzee Peter Abdallah Kisumo ambae ni mwasisi na ameshika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwaziri, ukuu wa mikoa na uenyekiti wa mashirika...
Habar wakuu.
Kuna kitu kinaendelea nchini ambacho kimsingi sio kizuri.
Utekaji unaendelea kama kawaida .
Nauliza tatizo ni uislam wa Masauni au ni Ukristo wa Bashungwa?
Mbona hatusikii kwamba...
Chadema imewahi kugawanyika mara moja tu pale walipomtosa Dr Slaa na kumleta mzee Lowasa
Unajua kwenye hizi siasa zetu za Tanganyika Mbowe hajawahi kufanya tukio lolote la kutikisa nchi kama vile...
Katibu wa TEC Father Kitima ameshambuliwa na Dunia nzima inafahamu nani ni mtuhumiwa (kasoro Polisi wa Tanzania), Sasa ni vema Kanisa likajitenga na wanaotuhumiwa, hakuna sababu yoyote ya kupokea...
Enzi za Nyerere, kwa mujibu wa moja ya hotuba zake, madikteta wengi walikuwa barani Afrika.
Hali ikoje kwa sasa?
ANGALIZO: Ibrahimu Traore si dikteta bali mpigania maslahi ya watu wake.
Nilimsikia Mbunge mmoja heti anasema yeye yupo tayari sisi wote tunywe maji ya kisima amesahau ni jinsi gani watanzania maskini wanatekwa naa kuuawa ovyo ovyo bila usalama wowote wengine wana...
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala...
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.
Ieleweke vyema kwamba kuchanganya...
Kama kuna kitabu ningeshauri kila mwananchi akisome kwa sasa ni tamthilia ya "Animal Farm" ya George Orwell (1945)
Hii ni simulizi ya wanyama walioamua kuuasi na kuupindua utawala wa mkulima...
Kwa Nini Viongozi wa Vyama vya Upinzani Wana Kesi Nyingi Kuliko wa Chama Tawala?
WanaJF,
Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu hali ya kisiasa nchini, hususani jinsi vyombo vya dola...
Mwaka Jana Serikali ya Tanzania ilisema inaenda kufufua Mradi mkubwa wa kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kitaifa Kwa jina la Kilimanjaro International Convention and Exhibition Centre-KICC...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Alhamisi amefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote kutokea...
Technology ya satellite ndio njia pekee ya kuwatafuta watu wote waliopotezwa.
Tukio la hivi karibuni la Mdude Nyagali kuvamiwa na majambazi watekaji wauaji usiku wa manane nyumbani kwake ...
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?
Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!
Je, Tanzania...
Wale vijana wa Mbowe waliumia sana mwenyekiti mbowe kushindwa uchaguzi!
Imekuwa ngumu sana kwao kuponya majeraha kwasababu tayali waliporamba ile asali ilikuwa na ahadi nyingine!
Waligawiwa pesa...
Akiwa mkoani Kagera, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi.
Bashiru Ally...
Kukamatwa kwa Tundu Lissu mnamo Aprili 9, 2025, kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashirika ya haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa. Mashirika haya yameelezea wasiwasi wao kuhusu ukiukwaji wa...
Mnamo tarehe 6 Mei 2025, Bunge la Ulaya liliwasilisha azimio kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Azimio hilo linaelezea wasiwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.