NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Ndugu,
Katika kutafakari tunayoyaona na kusikia ndani ta Tanzania na majibu au kejeli zinazosemwa tunaona Tanzania hatuna serikali bali tuna madalali.
Kwanza imekuwaje UVCCM kujiunga na mashoga wakati bunge la Tanzania kila kukicha wanasema Lissu anataka kuleta ushoga Tanzania. Kaka watu anamaumivu na nchi yake.
Pili. Mihimili mtatu inayotambulika kikatiba Tanzania imeshindwa je kusikia kilio cha wananchi mpaka bunge la ulaya lifanyekazi hiyo.
Tumesikiakauli ya Mh Tulia kuhusu bunge kujadili utekaji. Majibu yake yanakiashiria fulani ndiyo maana akajibu shoti.
Mahakama hii watasemea wanasheria kujibu hoja za bunge la ulaya.
Serikali kwa kweli ni waongo wanafiki naweza kusema ni makupe yamejaa huko. Hivi wanaounda serikali haina wa wanatumia vigezo gani? Ile barua ya jana ya tamko kwa watanzania kuhusu bunge la ulaya sikuielewa ina maana wanaomba mazungumzo na wao wakati sio bunge lao? Yaani mpaka wanakaa siku mbili inamaani walikurupuka bila kujiridhisha?
Sisi raia watanzania tuliousoma lile tamko ni kama kutudanganya na sisi tumesha wajua serikali yenu haitendi haki kwa wananchi wake.
Ushauri turudi kwenye alichoshauri mzee wetu Warioba kukate mzizi wa fitina. Raisi asihusike kwenye kuteua Tume ya uchaguzi. Wananchi watatuchagulia watu wenye utu na ubinadamu ambao wataitengeneza Tanzania yetu.
Asanten