Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu...
6 Reactions
112 Replies
4K Views
Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana...
0 Reactions
10 Replies
826 Views
Nimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Msomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030. NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao...
5 Reactions
49 Replies
7K Views
Nyie endeleeni tu. Mnadhani watanzania mmewaokota? Jibu ni hapana. Watanzania wanabadilika. Wakati unawabadilisha. Wanaona matendo yenu. Na uzuri ni kwamba mnaishi nao katika jamii hii hii. IPO...
3 Reactions
1 Replies
336 Views
Samia anaharakisha na kulazimisha uchaguzi ufanyike bila mabadiliko ltapelekea nchi kwenye machafuko. Hatuwezi kuingia kwenye uchaguzi vile wewe mtu mmoja unataka uwe bali lazima kuwe na...
7 Reactions
14 Replies
647 Views
Kama kukosolewa ni nongwa, na burudani ya moyo wa mfalume ipo kwenye kusifiwa, na kusifiwa huko kunasababishwa na mkono wenye kugawa vinono, basi utambue unajisumbua tu, wakosoaji hujikita katika...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Utambulisho wa mwanausalama mbele ya raia ni jukumu la kwanza. Na utambulisho wa kwanza wa mwanausalama yoyote ni Sura yake, pili sare zake na tatu kitambulisho chake. Ndio maana kila askari...
6 Reactions
8 Replies
628 Views
Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA...
0 Reactions
10 Replies
510 Views
Katika purukushani za Polisi na Chadema huko Mwanza, ulisikika wimbo ukiimbwa. Huu ni wimbo ambao baadhi yetu tuliimba sana jeshini, na ni wimbo mzuri sana kuhamasisha. Naapa naahidi mbele ya...
8 Reactions
12 Replies
746 Views
Kumekuwa na mtindo mara mbunge wa pale kachukuliwa fomu mara wa kule amechangiwa na wanachi. Ni kwamba wananchi wanakuwa wana mapenzi sana na wabunge wa hayo maeneo, au wabunge hao wanakuwa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Hivyo ndivyo tutakuwa na amani. Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali. Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi. Lakini hiyo...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani. 1. Samia na Waislam 2. Nyerere na Wakristo Tukizingatia...
2 Reactions
61 Replies
2K Views
Fanya Utafiti kwa wanasiasa wote wenye mafanikio kuanzia hayati Ben hadi hawa akina Kasesela na Gambo utagundua hilo Adam alikuwa na mke kabla lakini Mungu akamwambia nitakufanyia Msaidizi...
2 Reactions
22 Replies
931 Views
Majimbo Mapya 1. Mkoani Dar es Salaam-majimbo 2 (a) Jimbo la Kivule lililogawanywa kutoka Jimbo la Ukonga (b) Jimbo la Chamazi lililogawanywa kutoka Jimbo la Mbagala 2. Mkoa wa Dodoma-jimbo 1...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi...
31 Reactions
54 Replies
2K Views
Kutokana na jinsi nchi ya marekani taratibu zake zilivyo tumeona namna haikuwezekana hongo ya Qatari ya ndege ya dola milioni 400 kwa Tramp kua siri na ikabidi iitwe ni zawadi. Ukifuatilia...
2 Reactions
4 Replies
480 Views
Hili swali huwa najiuliza sana ila sipati majibu nimeona nilisogeze kwenu wajuvi wa mambo kwa msaada zaidi. Kwa sasa makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaendelea na operesheni ya No...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Back
Top Bottom