Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha...
Itakumbukwa kuwa kabla ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, palikuwa na jitihada za wazi zilizofanywa na wanaharakati mbalimbali katika kudai Mfumo wa Vyama Vingi vya...
Kuna vitu huwa havichezewi
Uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Ardhi
Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau!
Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu...
Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi?
Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono...
Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu
1. Je, kuna kifungu cha...
Sote ni mashuhuda,
chama hicho cha siasa nchini kimeanza kuishi kwenye athari za siasa za kiharakati kama vile kususa, kuendesha mambo yake kwa kuombaomba pesa na sasa hata press conference za...
kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital.
Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu...
Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani...
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.
Soma Pia...
"Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii...
GT
Mara zote kwenye uongo ukweli hujitenga pia mafuta na maji havichangamani.
Nachoshukuru hawa virusi na vibaraka wa CCM wataondoka mmoja baada ya mwingine hadi tuwajue wote
Chini ya...
Leo nimembuka hotuba iliyosononesha sana mwaka 2011. Hotuba ya aliyekua kiongozi wa Libya Kanali Mu'uammar Qaddafi. Aliiandika siku chache kabla ya kifo chake.
Hotuba hii nilipresent darasani...
RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia...
Mpango mkuu wa wanadamu dhidi ya Chadema na Lissu, ni kuhakikisha chama anachokiongoza kinakuwa kwenye mgogoro mkali wa wao kwa wao ndani ya Chadema ili tu, mwenyekiti wake na timu yake yenye...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake...
Katibu wa NCCR Mageuzi Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Robert Busumabu na mwenzake Mwenyekiti wa Vijana wilaya hiyo, Mathayo Ndalahwa wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.